Home Tags Meru

Tag: Meru

Wanne wafariki katika ajali ya basi Meru

0
Watu wanne wamefariki kwenye ajali ya barabara baada ya basi kubingiria katika daraja la Nithi kwenye barabara kuu ya Meru-Nairobi Jumapili . Yamkini watu wenginge...

Bastola yapatikana Meru, polisi wamsaka mshukiwa

0
Polisi mjini Meru wanamsaka mwanamke mmoja anayeshukiwa kumiliki bastola kinyume cha sheria.  Mwanamke huyo jana Jumapili usiku aliwakwepa wazee wa nyumba kumi katika eneo la...

Kalonzo aikosoa Kenya Kwanza kufuatia gharama ya juu ya maisha

0
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameisuta serikali ya Kenya Kwanza kutokana na kile ambacho ametaja kuwa kodi kubwa wanayotozwa Wakenya.  Aidha amelalamikia kupandwa...

Rais Ruto: Serikali itawasaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa chakula

0
Rais William Ruto amesema Serikali imejitolea kuimarisha uzalishaji wa kilimo nchini kwa kuwapiga jeki wakulima kuzalisha zaidi. Kiongozi huyo wa mataifa alidokeza kuwa madhumuni hayo...

Ruto aapa kuangamiza ufisadi nchini

0
Rais William Ruto amesema serikali imedhamiria kutokomeza ufisadi humu nchini.  Amesema mikakati kabambe imeweka kukabiliana na wale wanaokusudia kutumia vibaya fedha za umma. Rais Ruto amesema...

Wakazi wa Meru: Gharama ya maisha ingali juu

0
Siku chache baada ya Waziri wa Kilimo Mithika Linturi kuonekana akizuru supamaketi mbalimbali jijini Nairobi kubaini bei ya bidhaa mbalimbali za vyakula hasa unga,...

Mkurugenzi wa KBC Samuel Maina aongoza upanzi wa miti Meru

0
Wafanyakazi wa shirika la Utangazaji Nchini, KBC wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Samuel Maina, wameshiriki shughuli ya upanzi wa miti katika kituo cha Marania,...

Gachagua kuwapatanisha Gavana Mwangaza na Wawakilishi Wadi

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua anasema ataitisha mkutano wa viongozi kutoka Meru katika juhudi za kuwapatanisha Gavana Kawira Mwangaza na Wawakilishi Wadi wa kaunti hiyo.  Hii...

Gavana Kawira aona Mwangaza tena baada ya Seneti kumnusuru

0
Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza, aliponea chupuchupu kung'atuliwa afisini kwa mara ya pili, baada ya Maseneta jana Jumatano usiku kutupilia mbali mashtaka...

Kikao cha kusikiliza mashtaka dhidi ya Gavana Mwangaza chaingia siku ya...

0
Kikao cha kusikiliza mashtaka dhidi ya Gavana wa Meru Kawira Mwangaza, kimeingia siku ya pili Jumatano katika bunge la Seneti. Siku ya Jumanne, Gavana Mwangaza...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS