Home Tags Meru County

Tag: Meru County

Maandalizi ya siku ya wafugaji wa ng’ombe wa maziwa Meru yaendelea

Maandalizi ya siku ya wafugaji wa ng'ombe wa maziwa katika kaunti ya Meru yanaendelea na duru zinaarifu kwamba yanakaribia kukamilika. Rais William Ruto anatarajiwa kuhudhuria. Waandalizi...

Wakazi wa Meru wapokea huduma za matibabu bila malipo

Wakazi wa kaunti ya Meru wapatao 150 wamefaidika na huduma za bure za afya kama vile matibabu ya macho, kisukari na magonjwa mengine kwa...

Kituo cha kutibu matatizo ya akili kuanzishwa KeMU

Chuo Kikuu cha Kenya Methodist almaarufu KeMU kinapanga kuanzisha kituo cha matibabu ya matatizo ya akili kwa jina "Global Salama centre of mental health...

Jamaa aunda baisikeli iliyo na injini Meru

Katika eneo la Gitimbene karibu na mji wa Meru tunakutana na jamaa kwa jina Zakaria Wanyaga. Zakaria ambaye alisomea ufundi wa stima kwenye magari...

Wabunge walalamikia wizi wa mifugo Meru

Wabunge wa kaunti ya Meru hasa maeneo yanayopakana na kaunti ya Isiolo, wamedhihirisha kutoridhika kwao kutokana na ongezeko la ukosefu wa usalama wakisema wizi...

Wakenya wahimizwa kukumbatia bima za afya ili kuepuka michango

Huku ongezeko la magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa likiendelea kushuhudiwa nchini, wakenya wamehimizwa kukumbatia bima za afya ili kuepuka michango ya kila...

Wakulima wa miraa kuanza kuuza bidhaa hiyo nchini Israel

0
Mwenyekiti wa mamlaka ya kilimo na chakula nchini Cornelly Serem amesema kwamba Kenya hivi karibuni itaanza kuuza miraa nchini Israel baada ya kutambua wanunuzi...

Chifu na msimamizi wa kijiji mahakamani kwa tuhuma za mauaji

Chifu mmoja na msimamizi wa kijiji leo walifikishwa katika mahakama ya Meru kwa tuhuma za mauaji. Nicholas Ikiugu chifu wa lokesheni ya Uruku na Paul...

Wasimamizi wa viwanda na maghala ya kahawa wahimizwa kutumia polisi kwa...

Wasimamizi wa viwanda vya kahawa na maghala nchini wamehimizwa kutafuta huduma za ulinzi wa viwanda hivyo kutoka kwa polisi waliojihami. Haya yanafuatia matukio ya kila...

Waziri Linturi asema serikali inajibidiisha kupunguza gharama ya maisha

Waziri wa kilimo Mithika Linturi ameomba wakenya wawe na subira, wakati serikali ya Kenya Kwanza inatekeleza juhudi za kuhakikisha gharama ya maisha inapungua. Akizungumza huko...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS