Home Tags MCSK

Tag: MCSK

Embarambamba na Getumbe watakiwa kuondoa nyimbo zao “chafu” mitandaoni

0
Bodi ya kuorodhesha filamu nchini KFCB imetangaza kwamba imetuma nyaraka kwa wasanii Chris Embarambamba na William Getumbe kuwaelekeza waondoe video za nyimbo zao chafu...

Mkurugenzi Mtendaji wa MCSK ajibu madai ya kutogawa mirabaha ifaavyo

0
Dkt. Ezekiel Mutua ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hakimiliki za Muziki Nchini Kenya, MCSK amezungumza baada ya kulaumiwa na bodi inayosimamia hakimiliki...

Mahakama kuu yazuia KECOBO kugawa mapato ya vyombo vya kubebea muziki

0
Bodi ya hakimiliki nchini Kenya KECOBO imezuiwa na mahakama kuu kugawa mapato yaliyotokana na ushuru wa vyombo vya kubebea muziki ambavyo havijatumiwa. Hii ni baada...

Mkewe Rais aandaa tamasha ya kwanza ya muziki Narok

0
Mkewe Rais Rachel Ruto ameanzisha mpango wake wa kuandaa tamasha za muziki wa injili katika kaunti zote 47 kupitia kwa shirika lake la "MaMa...

Afisi ya Mke wa Rais kutekeleza mipango ya kuinua muziki

0
Afisi ya Mke wa Rais Rachel Ruto kupitia kwa shirika lake la Mama Doing Good inapanga kuandaa hafla za kuinua talanta ya muziki katika...

Wanamuziki kupokea malipo bora, asema Dkt. Ezekiel Mutua

0
Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la Haki za Wanamuziki Nchini, MCSK Dkt. EZekiel Mutua ametangaza kuwa wanalenga kukusanya shilingi bilioni nne ifikiapo mwezi Disemba...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS