Home Tags Mazungumzo

Tag: Mazungumzo

Mazungumzo kati ya Ruto na Jaji Koome yazua mdahalo

0
Wito wa Jaji Mkuu Martha Koome wa kutaka kufanya mazungumzo na Rais William Ruto kuhusiana na madai ya kukithiri kwa ufisadi katika idara ya...

Marais Ruto na Biden wazungumza kwa njia ya simu

0
Rais William Ruto amefanya mazungumzo na Rais wa Marekani Joe Biden kwa njia ya simu.  Wakati wa mazungumzo kati yao, Rais Ruto anasema walijadiliana kuhusiana...

Mazungumzo ya Upatanisho: Timu za Kenya Kwanza na Azimio zakutana

0
Timu za utawala wa Kenya Kwanza na muungano wa upinzani wa Azimio zilikutana Bomas of Kenya leo Jumatatu na kukubaliana juu ya kuundwa rasmi...

Mazungumzo yaangazie maslahi ya Wakenya, ashauri Asofu Sapit

0
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiangilikana humu nchini, ACK Jackson ole Sapit ametoa wito kwa timu za mazungumzo yanayolenga kuleta amani nchini kuyapa kipaumbele...

Timu ya Kenya Kwanza inapaswa kuvunjwa, asema mbunge wa Lugari

0
Mbunge wa Lugari Nabii Nabwera sasa anamtaka Rais William Ruto kuvunja timu ya upande wa Kenya Kwanza iliyobuniwa ili kushiriki mazungumzo na muungano wa...

Kenya Kwanza yataja timu itakayoshiriki mazungumzo na Azimio

0
Utawala wa Kenya Kwanza umetaja timu ya watu watano watakaoshiriki mazuungumzo na muungano wa upinzani wa Azimio.  Timu hiyo itakayoongozwa na kiongozi wa wengi katika...

Kenya Kwanza yaisihi Azimio kujerea kwenye meza ya mazungumzo

0
Muungano wa Azimio umetakiwa kurejea kwenye meza ya mazungumzo kati ya upinzani na serikali ya Kenya Kwanza.  Muungano huo ulijiondoa kwenye mazungumzo ya pande mbili...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS