Home Tags Mathare

Tag: Mathare

Serikali kufidia familia zilizoathiriwa na mafuriko, asema Rais Ruto

Serikali itaunga mkono familia zote zilizoathiriwa na mafuriko katika maeneo mbalimbali kote nchini, Rais William Ruto amesema. Rais alisikitika kuwa mafuriko hayo yamesababisha vifo na...

Takriban watu 100 wafariki kutokana na mafuriko Kenya

0
Takriban watu 100 wameripotiwa kufariki kutokana na mafuriko yanayosababishwa, na mvua kubwa inayoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Miili sita iliopolewa katika mto...

Miili minne yaopolewa kutoka mto Mathare

Miili minne ya watu wanaoshukiwa kuwa waathiriwa wa mafuriko, imeopolewa kutoka Mto Mathare. Mafuriko hayo yalisababishwa na mvua kubwa iliyonyesha siku ya Jumanne Jijini...

Wanafunzi 10,000 Nairobi kunufaika na mradi wa usafi

0
Wanafunzi 10,000 wa shule za mitaa ya mabanda kaunti ya Nairobi watanufaika na mpango wa usafi ulioanzishwa Jumatano na kampuni ya Dettol. Mpango huo unaambatana...

Eric Omondi amhamisha na kumfungulia biashara Victor Juma

0
Mchekeshaji Eric Omondi amemhamisha jamaa kwa jina Victor Omondi na familia yake kutoka mtaa wa Mathare na kumfungulia biashara ya kuuza viatu na nguo....
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS