Home Tags Mary Muthoni

Tag: Mary Muthoni

Wizara ya afya yaendeleza mipango ya usalama wa chakula

0
Wizara ya Afya inaongoza juhudi za kuimarisha usalama wa chakula kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa, zile za kaunti, sekta za kibinafsi, na washirika...

Wizara ya Afya yatangaza kuzuka kwa ugonjwa wa macho Mombasa

0
Wizara ya Afya imetangaza kuzuka kwa ugonjwa wa mboni ya macho katika kaunti ya Mombasa. Kwenye taarifa, katibu wa afya ya umma katika wizara hiyo...

Wizara ya Afya yapiga hatua katika kukabiliana na malaria

0
Wizara ya Afya imeripoti kupiga hatua kubwa za ufanisi katika kampeni zake dhidi ya ugonjwa wa malaria.  Kampeni hiyo ilizinduliwa mnamo Novemba 15 katika kaunti...

Wizara ya Afya kutoa awamu ya pili ya chanjo dhidi ya...

0
Wizara ya Afya inajiandaa kutoa awamu ya pili ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa kupooza wa polio kuanzia mwishoni mwa wiki. Kulingana na wizara hiyo,...

Wizara ya afya yachukua tahadhari dhidi ya mvua ya El Nino

0
Huku taifa hili likitarajia mvua ya El Nino, wizara ya afya imechukua hatua za tahadhari kwa kutambua maeneo ambako utoaji wa huduma za afya...

Uangalizi wa magonjwa katika maeneo ya mpakani wapigwa jeki

0
Wizara ya Afya imepigwa jeki baada ya kupokea vifaa vya tekonolojia ya habari vitakavyosaidia katika uangalizi na ufuatiliaji wa magonjwa katika maeneo ya mpakani.  Vifaa...

Tuko tayari kutekeleza malengo ya Africa CDC, asema Katibu wa Afya...

0
Kenya imesisitiza kujitolea kwake katika kutekeleza malengo yaliyowekwa na kituo cha udhibiti wa magonjwa cha Africa CDC.  Aidha imekariri kujitolea kwake katika utimizaji wa maono...

Serikali kuboresha maabara ya uchunguzi wa kifua kikuu

0
Wizara ya Afya pamoja na washirika wa kimaendeleo inatekeleza mipango ya kuboresha maabara ya uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu. Mradi huo unalenga kubadilisha maabara...

Wizara ya Afya yakagua vituo 808 vya matibabu nchini

Jumla ya vituo 808 vya afya vimehesabiwa kwenye sensa inayoendelea ya vituo vya afya nchini iliyoanza siku ya Jumatatu.  Wizara ya Afya inataka kuboresha utoaji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS