Home Tags MARY MORAA

Tag: MARY MORAA

Omanyala,Moraa na Chepkoech kushiriki Pre Fontaine Classic

0
Bingwa wa Dunia katika mbio za mita 800 Mary Moraa,bingwa wa Jumuiya ya Madola Ferdinand Omanyala na mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mita...

Moraa,Komen na Chebet wawika Doha

0
Bingwa mtetezi wa Dunia Mary Moraa, alianza vyema msimu alipotwaa ushindi wa mita 800 katika mkondo wa tatu wa Diamond League wa Ijumaa usiku...

Moraa alenga dhahabu ya Olimpiki Paris

0
Bingwa wa dunia katika mbio za mita 800 Mary Moraa analenga kutwaa dhahabu katika mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika jijini Paris, Ufaransa mwezi Agosti mwaka...

Moraa atwaa ushindi mita 400 Nyayo

0
Bingwa wa Dunia katika mbio za mita 800 Mary Moraa amefyatuka na kusajili muda wa kasi huku akitwaa ushindi katika fainali ya mita 400,katika...

Wanamichezo watuzwa shilingi milioni 32 na Rais Ruto

0
Rais William Ruto amewatuza wanamichezo waliofanya vyema  kimataifa kitita cha shilingi milioni 32  siku ya Ijumaa wakati wa hafla ya kuzindua jengo la Talanta...

Wanariadha 9 walioshinda nishani katika mashindano ya Riadha Duniani mjini Budapest...

0
Wanariadha 9 walioinyakulia Kenya nishani 10 katika makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani yaliyokamilika Jumapili iliyopita mjini Budapest, Hungary watatuzwa Ijumaa. Hafla ya...

Moraa atwaa dhahabu ya mita 800 mashindano ya Riadha ya Dunia

0
Mary Moraa ndiye bingwa mpya wa dunia katika mbio za mita 800 na Mkenya wa tatu kushinda dhahabu ya dunia kwa wanawake. Moraa aliishindia Kenya...

Wakenya wawinda dhahabu 3 Budapest katika siku ya mwisho ya mashindano...

0
Wanariadha wa Kenya watajitosa uwanjani katika fainali tatu katika siku ya mwisho ya makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani  Jumapili usiku mjini...

Ni kufa kupona kwa Moraa dhidi ya Athing nusu fainali ya...

0
Bingwa wa Jumuiya ya Madola Mary Moraa atashuka uwanja wa kitaifa wa riadha mjini Budapest nchini Hungary Ijumaa usiku katika nusu fainali ya mita...

Moraa asajili rekodi mpya ya mita 800 Silesia

0
Bingwa wa jumuiya ya madola Mary Moraa,aliendeleza msururu wa matokeo bora mwezi mmoja kabla ya mashindanoi ya riadha duniani, alipoibuka mshindi wa mita 800...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS