Home Tags Martha Koome

Tag: Martha Koome

Jaji Mkuu Koome ateua jopo la majaji watatu kuskiza kesi ya...

0
Jaji Mkuu Martha Koome ameteua jopo la Majaji watatu kuskiza na kuamua kesi, dhidi ya utekelezaji wa sheria ya matozo ya nyumba Majaji walioteuliwa ni...

Utatuzi wa kesi nje ya Mahakama wapiga jeki uchumi wa taifa

0
Mfumo wa upatanishi wa kesi nje ya mahakama, umesaidia uchumi wa taifa hili kupata takriban shilingi bilioni 52.1, kulingana na takwimu zilizotolewa na Jaji...

Mokaya Frida Boyani ateuliwa Msajili Mkuu wa Mahakama

0
Tume ya huduma za Mahakama JSC, imemteua Mokaya Frida Boyani kuwa msajili Mkuu wa idara ya Mahakama. Mokaya sasa anachukua wadhifa ulioachwa wazi na Ann...

Martha Koome atuzwa kiongozi bora wa kike Afrika

0
Jaji mkuu Martha Koome Ijumaa usiku alitunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa kike barani Afrika wa mwaka 2023, katika hafla iliyoandaliwa jijini Addis Ababa nchini...

Jopo la kumchunguza Jaji Mohammed Kullow laapishwa

0
Jopo ambalo lilitwikwa jukumu la kuchunguza mwenendo wa jaji Mohammed Kullow na rais Ruto limeapishwa leo Jumanne. Jaji Mkuu Martha Koome ambaye aliongoza uapishaji huo,...

Jaji Mkuu Martha Koome ampongeza mwenyekiti mpya wa LSK Faith Odhiambo

0
Jaji Mkuu Martha Koome, amempongeza mwenyekiti mpya mteule wa chama cha mawakili nchini LSK Faith Odhiambo, pamoja na wanachama wengine wa baraza hilo, waliochaguliwa...

Jopokazi la kushughulikia mizozo ya ardhi Nairobi lazinduliwa

0
Jaji Mkuu Martha Koome leo Jumanne alizindua jopokazi litakaloshughulikia kesi za mashamba katika Kaunti ya Nairobi. Jopokazi hilo linajumuisha washikadau kutoka sekta ya haki kuhusu...

JSC yatangaza nafasi 11 za majaji wa Mahakama ya Rufaa

0
Tume ya kuwaajiri maafisa wa idara ya mahakama, JSC imetangaza nafasi 11 za majaji wa mahakama ya rufaa. Kupitia gazeti rasmi la serikali, Jaji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS