Home Tags Marekani

Tag: Marekani

Wanajeshi 5 wa jeshi la Wanamaji wa Marekani hawajulikani walipo baada...

0
Wanajeshi watano wa jeshi la Wanamaji wa Marekani hawajulikani walipo baada ya helikopta yao kuangukia kwenye milima ya California iliyofunikwa na theluji. Helikopta hiyo aina...

Mwanafunzi awapiga risasi watu sita Marekani

0
Mwanafunzi mmoja amewapiga risasi watu sita, na kuuwa mmoja katika shule ya sekondari katika jimbo la Iowa nchini Marekani, na kisha kujitoa uhai. Tukio hilo...

Marekani yatangaza muungano wa kimataifa kulinda meli katika Bahari Nyekundu

0
Serikali ya Marekani imetangaza muungano wa kimataifa utakaozingatia usalama katika Bahari Nyekundu, kufuatia msururu wa mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara. Katika taarifa yake, Waziri...

Rosalynn Carter, mke wa Jimmy Carter afariki

0
Rosalynn alikuwa mshirika wangu wa karibu katika kila kitu nilichowahi kukifanya, Rais wa zamani Jimmy Carter alisema katika taarifa iliyotolewa na Kituo cha Carter. Mke...

Austin azuru Ukraine kuihakikishia usaidizi wa Marekani

0
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amefanya ziara ya kushtukiza mjini Kyiv, Ukraine ili kuihakikisha nchi hiyo kuwa Marekani itaendelea kutoa usaidizi wake...

Marais Ruto na Biden wazungumza kwa njia ya simu

0
Rais William Ruto amefanya mazungumzo na Rais wa Marekani Joe Biden kwa njia ya simu.  Wakati wa mazungumzo kati yao, Rais Ruto anasema walijadiliana kuhusiana...

Bunge la Wawakilishi nchini Marekani kumchunguza Rais Biden

0
Bunge la Wawakilishi nchini Marekani litafungua uchunguzi rasmi ili kumuondoa madarakani Rais Joe Biden, mjumbe wake mkuu wa chama cha Republican amesema. Kevin McCarthy alisema...

Waathiriwa wa shambulizi la bomu Nairobi hawajalipwa fidia, asisitiza Seneta Kavindu

Seneta wa kaunti ya Machakos Agnes Kavindu ameishutumu serikali ya Marekani kufuatia kauli zake za hivi karibuni kuwa iliwalipa fidia waathiriwa wa shambulizi la...

Lionel Messi moto wa kuotea mbali

0
Maisha ya soka ya mchezaji bora duniani Lionel Messi yanazidi kuwa matamu zaidi nchini Marekani huku nyota huyo wa timu ya taifa ya Argentina...

Marekani yashutumu ukatili wa vikosi vya RSF nchini Sudan

0
Marekani imelaani vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kutekelezwa na kundi la wapiganaji la Rapid Support Forces (RSF) na wanamgambo washirika katika eneo la Darfur Magharibi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS