Home Tags Mandera

Tag: Mandera

Polisi watano na walimu wanne wajeruhiwa katika ajali Mandera

0
Maafisa watano wa polisi na walimu wanne walijeruhiwa katika ajali ya barabarani jana Alhamisi jioni kwenye barabara ya Banisa-Guba, kaunti ya Mandera. Ajali hiyo ilitokea...

Mashirika yasiyo ya serikali kuimarisha huduma za afya Mandera

0
Mashirika yasiyo ya kiserikali yameshirikiana na serikali ya kaunti ya Mandera kuboresha viwango vya afya katika kaunti hiyo. Shirika linalofahamika kama Action Against Hunger limeshiarikiana...

Watu 13 wafariki kufuatia kulipuka kwa kilipuzi eneo la Elwak

0
Watu 13 wameaga dunia Jumatatu kufuatia mlipuko wa kilipuzi katika eneo la Elwak,kaunti ya Mandera. Kilipuzi hicho kilikuwa kimefungwa kwenye mzigo uliobebwa na punda. 13 hao...

Watu wanne wafariki katika shambulizi la kigaidi Mandera

0
Watu wanne waliuawa, huku wengine 11 wakipata majeraha katika shambulizi linaloshukiwa kuwa la kigaidi kaunti ya Mandera. Miongoni mwa walioaga dunia ni pamoja na maafisa...

Kenya kuandaa mkutano kuhusu maswala ya mipakani kaunti ya Mandera

0
Kenya inaandaa mkutano wa siku mbili, utakaoshughulikia masuala ya mpakani ambapo wajumbe kutoka Kenya, Somalia na Ethiopia, watahudhuria katika kaunti ya Mandera. Mkutano huo...

Mafuriko Mandera yazua hofu ya uhaba wa chakula

0
Kaunti ya Mandera inahangaika kutokana na athari za mvua kubwa ambayo imesababisha mafuriko, vifo na uharibifu mkubwa.  Barabara kuu katika mji wa Mandera Mashariki zimefunikwa...

Wakulima wakadiria hasara Mandera kufuatia mafuriko

0
Wakulima katika kaunti ya Mandera wanakadiria hasara kubwa kutokana na mafuriko yaliyosababisha uharibifu mkubwa katika kaunti hiyo.  Wakulima katika eneo la Mandera Mashariki, hasa katika...

Wanaohujumu miradi ya serikali Mandera waonywa

0
Serikali ya kaunti ya Mandera imewaonya wakazi wa eneo hilo dhidi ya kuhujumu miradi ya maendeleo ya kaunti hiyo. Akihutubia wananchi wakati wa maadhimisho ya...

Utoaji chanjo dhidi ya Polio wang’oa nanga kote nchini

0
Serikali za kaunti siku ya Jumamosi zilizindua zoezi la utoaji chanjo dhidi ya ugonjwa wa kupooza wa Polio kote nchini. Katika taarifa, wizara ya afya...

Wanamgambo wa Al-Shabaab waharibu mtambo wa mawasiliano Mandera

0
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Mandera wanawasaka washukiwa wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab, ambao waliharibu mtambo wa mawasiliano wa kampuni ya mawasiliano...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS