Home Tags Manchester United

Tag: Manchester United

Anthony Martial athibitisha kuondoka Manchester United

0
Mshambulizi wa Ufaransa Anthony Martial amethibitisha kuwa ataondoka katika klabu ya Manchester United, baada ya kuwachezea kwa miaka tisa. Katika ujumbe alioutuma kupitia ukurasa wake...

Mancity na Man U kukabana koo fainali ya FA

0
Mabingwa watetezi wa kombe la FA na ligi kuu ya Uingereza Manchester City watawakabili mahasimu wao Manchester United leo jioni ugani Wembley kwenye fainali...

Man U wapigwa kitutu nyumbani na Bournemouth

0
Masaibu ya klabu ya Manchester United yaliongezeka Jumamosi jioni baada ya kucharazwa mabao matatu kwa bila nyumbani na Bournemouth. Mabao ya wageni yalipachikwa...

Manchester United yalamba sakafu Denmark

0
Matumaini ya klabu ya Manchester United kufuzu kwa raundi ya mwondoano kuwania ligi ya mabingwa yalianza kudidimia, baada ya kuambulia kichapo cha magoli manne...

Mancity watafunwa na mbweha huku Man U wakiduwazwa

0
Rekodi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Uingereza Manchester City,kutopoteza msimu huu ilivunjwa baada ya kuambulia kichapo cha magoli mawili kwa moja ugenini mikono...

Kipenga cha Kabumbu: Manchester United yakandwa na Spurs mawili kwa sufuri

0
Klabu ya Tottenham hotspurs imeibuka washindi baada ya kuipokeza klabu ya Manchester United kichapo cha mabao 2-0 katika mchezo ambao United ilishindwa kustahimili mawimbi...

Manchester United wamsajili mshambulizi Rasmus Hojlund

0
Manchester United wamekamilisha usajili wa mshambulizi wa Denamark Rasmus Hojlund kutoka Atalanta kwa pauni milioni 72. Kinda huyo aliye na umri wa miaka 20 na...

Manchester United yamnyatia Amrabat

0
Manchester United wamejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kiungo mkabaji wa Fiorentina Sofyan Amrabat wa Morocco. Amrabat aliye na umri wa miaka 26 anapania kukata tamaa na...

Marcel Sabitzer atimkia Dortmund

0
Marcel Sabitzer raia wa Austria amejiunga na Klabu ya Borrusia Dortmund Nchini Ujerumani kutokea klabu ya Bayern Munich. Sabitzer 29, ambaye msimu Jana amekuwa Man...

Mason Mount ni nani? Mfahamu kiungo nyota mpya wa klabu ya...

0
Mason Tony Mount alizaliwa Januari tarehe 10 mwaka wa elfu moja Kenda mia tisini na tisa 1999, Katika Mji wa Portsmouth Nchini Uingereza. Maisha ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS