Home Tags Manchester City

Tag: Manchester City

Mancity na Man U kukabana koo fainali ya FA

0
Mabingwa watetezi wa kombe la FA na ligi kuu ya Uingereza Manchester City watawakabili mahasimu wao Manchester United leo jioni ugani Wembley kwenye fainali...

Mancity watwaa ubingwa wa EPL mara nne kwa mpigo

0
Timu ya Manchester City imehifadhi ligi kuu nchini Uingereza kwa mara ya nne mtawalia, baada ya Kuizaba West Ham mabao matatu Kwa moja kwenye...

Man City waifunga Spurs 2-0 wakijizatiti kunyakua Ligi ya EPL

0
Mabingwa watetezi wa ligi ya Uingereza Manchester City wamezidi kuonyesha ubabe wa ligi hiyo Kwa kuilaza Tottenham Hotspur Kwa magoli mawili Kwa nunge kwenye...

Matukio manne yaliozua vilio na mijadala mikali ligi ya EPL 2023

0
Mchezo wa kandanda au Soka unahenziwa sana duniani na ndio pekee ulio na mashabiki wengi kote ulimwenguni.  Japo ligi ya Ujerumani na Uhispania; Bundesliga na...

Manchester City watawazwa mabingwa wa dunia kwa mara ya kwanza

0
Klabu ya Manchester City ndio mabingwa wa kombe la dunia kwa mara ya kwanza, baada ya kuwazabua Fluminense FC ya Brazil, magoli manne...

Mancity watafunwa na mbweha huku Man U wakiduwazwa

0
Rekodi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Uingereza Manchester City,kutopoteza msimu huu ilivunjwa baada ya kuambulia kichapo cha magoli mawili kwa moja ugenini mikono...

Manchester City kukipiga na Arsenal Kombe la Ngao ya Jamii, unachohitaji...

0
Agosti 6 Manchester City na Arsenal zitapepetana kwenye dimba la Wembley nchini Uingereza. Pambano la Ngao ya Jamii ndilo utangulizi wa kufunguliwa pazia la ligi...

Manchester City wakaribia kumtwaa Kovacic

0
Mabingwa wa ligi kuu Uingereza Manchester City wanakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa Chelsea Mateo Kovacic kwa ada ya pauni milioni 34 nukta 2...

Westham yasusia dau la Arsenal kumsajili Rice

0
West Ham United  wamekatalia mbali ofa ya pauni milioni 90 kutoka kwa Arsenal kama ada ya kumsajili mwanandinga Declan Rice. Westham ambao ni mabingwa wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS