Home Tags Mamelodi Sundowns

Tag: Mamelodi Sundowns

Ahly kumenyana na Esperance katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

0
Watetezi wa taji ya Ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly ya Misri waliwazidia maarifa washindi mara tano Toupiza Mazembe ya Jamhuri ya Demokrasia ya...

Ni kufa kupona Ligi ya Mabingwa Afrika,wakali wao kubainika

0
Marudio ya nusu fainali za Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika yataandaliwa Ijumaa usiku, huku timu mbili zitakazocheza fainali ya msimu huu zikitarajiwa kubainika. Washindi...

Yanga ya Tanzania yabanduliwa katika ligi ya kilabu bingwa Barani Afrika

0
Mabingwa wa soka nchini Tanzania, Dar-Young Africans, almaarufu Yanga, wameshindwa kufuzu kwa mechi za nusu fainali ya ligi ya kilabu bingwa Barani Afrika, baada...

Mamelodi Sundowns watawazwa mabingwa wa AFL

0
Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini ndio mabingwa wa makala ya kwanza ya kombe la African Football League, baada ya kuwashinda Casablanca ya...

Wydad waipakata Mamelodi duru ya kwanza ya fainali AFL

0
Wydad Casablanca wakicheza nyumbani  walisajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ,katika duru ya kwanza ya fainali ya  kombe...

Mamelodi wamlambisha shubiri Mwarabu Cairo na kuingia fainali

0
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ilifuzu kwa fainali ya kombe la Ligi ya Soka Afrika baada ya kulazimisha sare tasa dhidi ya Al...

KBC kurusha mubashara mechi za ligi ya Afrika

0
Runinga ya taifa KBC Channel 1 itapeperusha mubashara mechi zote 14 za ligi ya mabingwa barani Afrika maarufu kama African Football League. Pambano la ufunguzi...

Simba SC kufungua Ligi ya Afrika AFL kuanza Ijumaa Dar

0
Makala ya kwanza ya kipute cha kuwania ligi ya Afrika baina ya  vilabu maarufu kama Africa Football League  (AFL), yatang'oa nanga Ijumaa, kwa robo...

CAF yatangaza zawadi ya hela katika kipute cha ligi ya Afrika(AFL)

0
Shirikisho la soka barani Afrika limetangaza zawadi ya donge nono kwa timu zitakazoshiriki makala ya kwanza ya kipute cha ligi ya soka Afrika (AFL),...

Makala ya kwanza ya kipute cha ligi mpya ya Afrika, AFL...

0
Ligi mpya ya Afrika baina ya vilabu maarufu kama African Football League, AFL itang'oa nanga Oktoba 20 jijini Dare Salaam, Tanzania kulingana na shirikisho...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS