Tag: MALKIA STRIKERS
Malkia Strikers waambulia kichapo cha pili Olimpiki
Matumaini ya timu ya Kenya ya Voliboli ya wanawake kuzoa angaa seti katika michezo ya Olimpiki ya Paris, yalitumbukia nyongo Jumatano, baada ya kucharazwa...
Malkia Strikers na Shujaa zawasili Paris tayari kwa michezo ya Olimpiki
Timu ya taifa ya mpira wa wavu ya wanawake almaarufu Malkia Strikers imewasili mjini Paris nchini Ufaransa siku ya Jumatatu, tayairi kwa mechi za...
Malkia Strikers watimuliwa mashindano ya Challenger
Azma ya vipusa wa Kenya-Malkia Strikers kujiakatia tiketi kwa nusu fainali ya mashindano ya Challenger Cup nchini Ufilipino, imezimwa baada ya kutitigwa seti 3-0...
Paul Bitok ajiuzulu kutoka Malkia Strikers
Naibu kocha wa timu ya taifa ya Voliboli ya Kenya kwa akina dada maarufu kama Malkia Strikers ,Paul Bitok amejiuzuku kutoka wadhfa huo.
Bitok ambaye...
Malkia Strikers kuzindua uhasama dhidi ya Nigeria jijini Accra
Timu ya taifa ya Voliboli kwa wanawake ya Kenya ukipenda Malkia Strikers ,itashuka uwanjani Jumamosi kwa mchuano wa kufa kupona dhidi ya Nigeria katika...
Kikosi cha Malkia kufuzu kwa michezo ya Afrika chatajwa
Kikosi cha mwisho cha timu ya taifa ya Voliboli kwa vidosho maarufu kama Malkia Strikers kimetangazwa huku idadi ya wachezaji ikipunguzwa kutoka 19...
Malkia Strikers watwaa ubingwa wa Afrika
Timu ya taifa ya Voliboli ya Wanawake maarufu kama Malkia Strikers ndio mabingwa wa Afrika baada ya kuwachakaza Misri seti tatu kwa bila kwenye...
Malkia Strikers watinga fainali ya Kombe la Afrika na kufuzu kwa...
Timu ya taifa ya voliboli ya wanawawake almaarufu Malkia Strikers imejikatia tiketi ya kushiriki michezo ya Olimpiki mwaka ujao jijini Paris nchini Ufaransa baada...
Malkia Strikers waiparamia Uganda na kunakili ushindi wa tatu Voliboli ya...
Timu ya taifa ya voliboli ya wanawake imesajili ushindi wa tatu mtalia katika mashindano ya kuwania Kombe la Afrika yanayoendelea mjini Yaounde nchini Cameroon.
Kenya,...
Malkia Strikers waishinda Rwanda mechi ya ufunguzi mashindano ya Voliboli...
Timu ya taifa ya Kenya ya Voliboli kwa wanawake Malkia Strikers imeanza harakati za kuwania kombe la Afrika katika makala ya 21 kwa ushindi...