Home Tags Makueni

Tag: Makueni

Maeneo zaidi ya utawala yabuniwa Makueni kuboresha utoaji huduma

0
Serikali imebuni maeneo zaidi ya utawala katika kaunti ya Makueni katika hatua inayolenga kupeleka huduma karibu na raia.  Maeneo yaliyobuniwa na kuwekwa katika gazeti rasmi...

Matukio ya Taifa: Juhudi za kuwatafuta waliosombwa na mafuriko Makueni zingali...

0
Juhudi za kuwatafuta watu 7 waliosombwa na maji ya mto Muooni katika kaunti ya makueni zingali zinaendelea huku likiongozwa na maafisa wa msalaba mwekundu...

Watu saba wahofiwa kufa baada ya kusombwa na mafuriko Makueni

0
Watu saba wanahofiwa kufariki katika kaunti ya Makueni, baada ya kusombwa na mafuriko yanayotokana na mvua kubwa. Yamkini saba hao walisombwa walipojaribu kuvuka mto Muuoni...

Wakulima kurejelea ukulima wa kahawa Mbooni

0
Wakulima zaidi ya 1,000 wa Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa cha Kikima katika eneo la Mbooni kaunti ya Makueni wameahidi kurejelea shughuli...

Washukiwa watatu wa wizi wa kebo watiwa nguvuni Emali

0
Maafisa wa upelelezi wamewatia mbaroni washukiwa watatu na kunasa shehena ya Kebo za deta, zinazoaminika kuibwa katika eneo la Emali, Kaunti ya Makueni. Wakati...

Matukio ya Taifa: Mradi wa Konza Techno City kugharimu zaidi ya...

0
Rais William ruto ametangaza kuwa serikali imetenga zaidi ya shilingi billioni mia moja kuhakikisha kuwa mradi wa Konza Techno City unaingia awamu ya pili...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS