Home Tags Majani chai

Tag: Majani chai

Kenya yalenga masoko 13 mapya ya Majani chai ughaibuni

0
Serikali inalenga kuzalisha majani chai yaliyoongezwa thamani, huku ikiweka mkakati wa miaka mitano wa kupanua masoko, ikilenga masoko 13 mapya ughaibuni. Waziri wa kilimo na...

Wakulima wa Majani chai kunufaika na mapato yaliyoimarika

0
Wakulima wa majani chai hapa nchini wanasababu ya kutabasamu, kwa kuwa mapato yao yataimarika kufuatia mkataba kati ya Kenya na kampuni ya Liptons Teas...

Mageuzi ya sekta ya majani chai: Gachagua ataka kesi ziondolewe kortini

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito wa kuondolewa mahakamani kwa kesi zinazotatiza utekelezaji wa mageuzi katika sekta ya majani chai. Amesema kesi hizo zinazuia...

KTDA kuelimisha umma kuhusu kilimo cha majani chai nchini

0
Mamlaka ya Ukuzaji wa Majani Chai Nchini, KTDA imesisitiza dhamira yake ya kukuza uelewa wa umma kuhusiana na sekta ya majani chai na kuangazia...

Mauzo ya majani chai katika masoko ya nje yaimarika

0
Mauzo ya majani chai katika masoko ya nje yataongezeka kutoka shilingi bilioni 138 mwaka jana, hadi shilingi bilioni 150 mwaka huu, hayo ni kulingana...

Naibu Rais Rigathi Gachagua akutana na wakurugenzi wa KTDA

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameandaa mkutano na wakurugenzi wa Halmashauri ya Ustawi wa Majani Chai Nchini, KTDA katika makazi yake ya Karen jijini Nairobi. Wakulima...

Gachagua: Mabadiliko lazima yahakikishe wakulima wa majani chai wanafaidika

0
Seikali imekusudia kutekeleza mabadiliko sahihi katika sekta ya majani chai kupitia mtazamo unaotoa kipaumbele kwa wakulima.   Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema mabadiliko yanayoshinikizwa yatahakikisha wakulima...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS