Home Tags Mahakama

Tag: Mahakama

Afueni kwa Sudi baada ya kushinda kesi ya vyeti ghushi

0
Mahakama ya Nairobi leo ijumaa imetupilia mbali kesi ya vyeti ghushi iliyokuwa ikimponza mjumbe wa Kapsaret Oscar Sudi. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mkuu Felix Kombo...

Korti yasema KICC ni mali ya serikali

0
Jumba la Mikutano ya Kimataifa la Kenyatta, KICC ni mali ya serikali.  Hii ni kwa mujibu wa uamuzi uliotolewa leo Jumatatu na Jaji Jacqueline Mogeni...

Mokaya aapishwa kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama

0
Winfridah Boyani Mokaya ameapishwa kuwa Msajili Mkuu mpya wa Mahakama.  Mokaya alikula kiapo cha kuhudumu katika wadhifa huo wakati wa hafla iliyoongozwa na Jaji Mkuu...

Hukumu dhidi ya Jowie kutolewa Jumatano ijayo

0
Joseph Irungu almaarufu Jowie atafahamu kifungo atakachotumikia gerezani Jumatano wiki ijayo, saa tano na nusu asubuhi. Hii ni baada ya awali Jaji Grace Nzioka kumpata...

Wagombea 7 waorodheshwa kwa wadhifa wa msajili mkuu wa mahakama

0
Wagombea saba wameorodheshwa na Tume ya Huduma za Mahakama, JSC kuwania wadhifa wa Msajili Mkuu wa Mahakama.  Mahojiano ya saba hao yamepangwa kufanyika Machi, 18...

JSC: Jihadhari dhidi ya walaghai wenye nia ya kuwapora pesa

0
Tume ya Huduma za Mahakama, JSC imetoa wito kwa Wakenya kuchukua tahadhari dhidi ya watu inaosema wanajisingizia kuwa wafanyakazi wa tume hiyo na wanaowahadaa...

Mahakama: Jowie ndiye aliyemuua Monicah Kimani

0
Mahakama imebaini kuwa Joseph Irungu almaarufu Jowie ndiye aliyemuua mfanyabiashara Monicah Kimani.  Marehemu Kimani alipatikana ameuawa katika makao yake ya Lamuria Gardens, karibu na barabara...

Mauaji ya Monicah Kimani: Mahakama yatoa hukumu

0
Jaji Grace Nzioka ambaye pia ni Jaji Msimamizi wa Mahakama ya Naivasha kwa sasa anasoma hukumu katika kesi inayowakabili  mwanahabari Jackie Maribe na mpenzi...

Maribe na Jowie sasa kujua hatima yao Machi 15

0
Hukumu dhidi ya mwanahabari Jackie Maribe na mpenziwe wa zamani Joshua Irungu, almaarufu Jowie, sasa itatolewa Machi 15, 2024. Hukumu hiyo ambayo ni mara...

Mashambulizi ya mahakama: Mahakimu na Majaji walalama

0
Baraza Kuu la Chama cha Mahakimu na Majaji nchini Kenya limeelezea mashataka makubwa kutokana na hatua ya wanasiasa kuendelea kuishambulia idara ya mahakama na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS