Tag: Magereza
Idara ya mahakama mbioni kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani
Idara ya Mahakama inakusudia kufanya marekebisho muhimu katika mfumo wa idara hiyo ili kukabiliana na msongamano wa wafungwa katika magereza humu nchini.
Hatua hiyo ni...
Naibu Kamishna Mkuu wa Magereza, wengine 4 washtakiwa kwa ulaghai
Naibu Kamishna Mkuu wa Magereza Benjamin Obuya na watu wengine wanne leo Jumatatu wameshtakiwa katika Mahakama ya Kupambana na Ufisadi ya Milimani.
Watano hao wameshtakiwa kwa...
Idara ya magereza yatakiwa kupiga jeki usalama wa chakula nchini
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa idara ya magereza kutumia taasisi zake kuhakikisha usalama wa chakula hapa nchini.
Gachagua alisema idara hiyo ina uwezo...
Idara ya magereza yaonya dhidi ya unyanyapaa kwa wafungwa waliotoka jela
Idara ya magereza nchini sasa inawataka Wakenya sawia na jamii kwa jumla kukomesha unyanyapaa dhidi ya wafungwa waliorudi kwa jamii kutoka gerezani.
Kulingana na Naibu...