Home Tags Mafuriko

Tag: Mafuriko

Serikali kufidia familia zilizoathiriwa na mafuriko, asema Rais Ruto

Serikali itaunga mkono familia zote zilizoathiriwa na mafuriko katika maeneo mbalimbali kote nchini, Rais William Ruto amesema. Rais alisikitika kuwa mafuriko hayo yamesababisha vifo na...

Serikali imeweka mikakati madhubuti kupunguza athari za mafuriko,asema Rais Ruto

Serikali inaweka mikakati madhubuti ili kupunguza athari za mafuriko nchini, Rais William Ruto amesema. Rais alisema serikali imepitisha "Mtazamo wa Pamoja wa Serikali" ili kuhakikisha...

Shirika la reli nchini lasimamisha utoaji huduma kutokana na mafuriko

0
Shirika la reli nchini, limesitisha utoaji wa huduma, kutokana na mvua kubwa inayonyesha hapa nchini, baada ya reli kuathiriwa na mafuriko. Kupitia kwa taarifa Jumatano...

Masaibu ya mafuriko Tana River, familia 27,000 zaathirika

0
Jumla ya 27,000 zimeathiriwa na mafuriko katika kaunti ya Tana River.  Familia zaidi ya 38,000 zimeathiriwa na mafuriko katika eneo la Pwani. Shirika la Msalaba Mwekundu...

Madhara ya Mafuriko: Gachagua, Murkomen wazuru Tana River

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri wa Uchukuzi na Barabara Kipchumba Murkomen leo Jumatatu wlitembelea kaunti ya Tana River kutathmini madhara yaliyosababishwa na mafuriko.  Tana...

57 wameagamia kwa mafuriko kufikia sasa, asema Rais Suluhu

0
Rais wa Tanzania Samia Suluhu anasema watu 57 wamethibitishwa kufariki kufikia sasa kutokana na mafuriko nchini humo.  Wengine 85 wanaendelea kupata matibabu katika hospitali mbalimbali. "Mpaka...

Mafuriko Manyara: Serikali ya Tanzania yasema watu zaidi ya 50 wamefariki

0
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa itagharimia mazishi ya zaidi ya watu 50 ambao wamepoteza maisha yao kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo katika...

Wakazi wa mji wa Voi wahaha kufuatia mafuriko

0
Vijiji kadhaa mjini Voi vimezingirwa na mafuriko baada ya mto Voi kuvunja kingo zake leo Jumatatu asubuhi. Shirika la Msalaba Mwekundu limeanzisha zoezi la utafutaji...

Idadi ya waliofariki kufuatia mafuriko yafikia 136

0
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua za El Nino zinazoshuhudiwa nchini kwa sasa imefikia 136.  Hii ni baada ya watu 16...

Idara ya polisi yawasambazia chakula waathiriwa wa mafuriko

0
Ilikuwa na afueni kwa waathiriwa wa mafuriko katika maeneo mbalimbali ya nchi baada ya Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS kuwasambazia chakula na bidhaa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS