Home Tags Maendeleo

Tag: Maendeleo

Ruto asaini mswada wa bajeti ya ziada 2024 kuwa sheria

0
Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria mswada wa bajeti ya ziada 2024.  Katika hafla iliyoandaliwa katika Ikulu ya Nairobi leo Jumatatu, Ruto pia ametia...

Kanisa latakiwa kuisaidia serikali kutekeleza mipango ya maendeleo

0
Kanisa limetakiwa kushirikiana na serikali kuwaelimisha Wakenya kuhusu fursa mbalimbali zinazotokana na mipango ya maendeleo inayotekelezwa na utawala wa Kenya Kwanza.  Mkewe Rais Rachel Ruto...

Gavana Natembeya: Trans Nzoia mbioni kufikia upeo wa maendeleo

0
Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ameelezea hatua alizochukua tangu alipoingia madarakani ili kuleta mabadiliko makubwa katika kaunti hiyo kwa manufaa ya...

Mudavadi asisitiza umuhimu wa ushirikiano kuchochea maendeleo

0
Kinara wa Mawaziri ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi ametoa wito wa uboreshaji wa ushirikiano kati ya Canada na nchi...

Ruto: Ujerumani imechangia mno maendeleo nchini Kenya

0
Rais William Ruto ameilimbikizia Ujerumani sifa teletele akisema nchi hiyo imetekeleza wajibu muhimu katika kuchochea maendeleo katika sekta mbalimbali humu nchini.  Ametaja sekta za elimu...

Malalah awakemea wanaohujumu maendeleo, awataja kuwa maadui

0
Katibu Mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malalah amewashutumu watu wanaotatiza utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaofanywa na serikali ya Kenya Kwanza.  Watu kadhaa akiwemo...

Ruto: Uboreshaji uhusiano kati ya Kenya na India utaimarisha ajenda yetu...

0
Kenya imejitolea kuimarisha uhusiano wake wa pande mbili na India.  Rais William Ruto amesema Kenya na India zinashirikishana uhusiano wa kihistoria ulioanza katika karne ya...

Kila sehemu ya nchi itanufaika na maendeleo, asema Gachagua

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali ya Kenya imekusudia kutekeleza maendeleo kila pembe ya nchi.  Anasema kama serikali, wanaendelea kushauriana na kubadilishana mawazo na viongozi...

Ndindi Nyoro kwa upinzani: Serikali ya muungano? Sahau!

0
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amepuuzilia mbali uwezekano wa kuwa na serikali ya muungano licha ya mazungumzo yanayoendelea kati ya timu za Kenya Kwanza...

Afrika inapaswa kujikomboa kutoka minyororo ya vikwazo vya maendeleo na umaskini

0
Bara la Afrika linapaswa kujikomboa kutoka kwenye taasisi za kifedha ambazo zimelilemaza kutokana na madeni. Hii hasa wakati huu ambapo kuna rasilimali chache na mdororo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS