Tag: Macharia Gaitho
Francis Gaitho kujiwasilisha kwa DCI
Mwanamitandao Francis Gaitho amesema kwamba atajiwasilisha kwenye afisi za idara ya upelelezi wa jinai DCI katika jumba la Mazingira leo,wakati wowote kuanzia sasa.
Kupitia akaunti...
Polisi wamkamata kimakosa mwanahabari Macharia Gaitho
Maafisa wa polisi leo Jumatano asubuhi walimtia nguvuni kimakosa mwanahabari mkongwe Macharia Gaitho kabla ya kumwachilia huru saa chache baada ya kumzuilia katika kituo...