Home Tags Machakos

Tag: Machakos

Zaidi ya familia 150 zakesha kwa baridi Machakos baada ya makazi...

0
Zaidi ya familia 150 zimelazimika kukesha kwa baridi kali katika kaunti ya Machakos usiku wa kuamkia Jumapili,baada ya moto kuteketeza nyumba zao eneo na...

Wakulima zaidi ya 500 wakadiria hasara ya mafuriko Machakos

0
Zaidi ya wakulima 500 katika kaunti ya Machakos wanahesabu hasara, baada ya mvua ya mafuriko kuharibu mazao shambani . Wengi wa wakulima walioathirika ni wale...

Lori lililokuwa na watu 10 lasombwa na mafuriko kaunti ya Makueni

0
Lori  lililokuwa na watu 10, limesombwa na mafuriko lilipokuwa likijaribu kuvuka mto kwa Muswii, uliokuwa umefurika katika eneo la Kasikeu area, Sultan Hamud ikaunti...

Baadhi ya maeneo ya Nairobi na Machakos yakumbwa na mafuriko

0
Huku sehemu nyingi za nchi zikiendelea kushuhudia msimu wa mvua, maeneo mbalimbali Jijini Nairobi na Machakos yamearithiwa pakubwa na mafuriko na kuwaacha watu wengi...

Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti atuzwa na Benki ya Dunia

0
Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ametuzwa kwa utekelezaji bora wa mradi wa kilimo wa mabadiliko ya tabia nchi KCSAP, unaofadhiliwa na benki ya dunia. Benki...

Wanafunzi wa chekechea Machakos kufurahia maziwa ya bure

0
Gavana wa kauti ya Machakos Wavinya Ndeti jana Alhamisi alizindua mpango wa maziwa ya bure kwa wanafunzi wote wa chekechea, ECDE katika shule za...

Chebet na Mutai washinda mkondo wa kwanza wa mbio za nyika,...

0
Sandrafelis Chebet na Vincent Mutai, ndio washindi wa mkondo wa kwanza wa mbio za nyika nchini ulioandaliwa Jumamosi katika kaunti ya Machakos. Chebet wa Police...

Waziri wa Elimu Machakos atimuliwa

0
Waziri wa Elimu katika kaunti ya Machakos Philip Mutua Kilonzo amefutwa kazi.  Gavana Wavinya Ndeti anasema alichukua hatua ya kumpiga Kilonzo kalamu baada ya kubaini...

Wizara ya Michezo kukuza vipaji mashinani, asema Tum

0
Wizara ya Michezo itashirikiana na kaunti ya Machakos katika utambuaji na ukuzaji vipaji vya michezo miongoni mwa vijana kutoka mashinani. Haya yalisemwa jana na Katibu...

Wahudumu wa afya Machakos watoa ilani ya mgomo

0
Wahudumu wa afya katika kaunti ya Machakos wametoa ilani ya siku sita ya kugoma iwapo serikali ya kaunti haitakuwa imeshughulikia matakwa yao ya kikazi. Wahudumu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS