Home Tags Machakos County

Tag: Machakos County

Wakazi wa Machakos wafaidi kutokana na kambi ya matibabu bila malipo

Zaidi ya wakenya alfu tatu walipokea matibabu na vipimo bila malipo katika kaunti ya machakos katika kambi ya matibabu kwa wananchi iliyoandaliwa na kampuni...

Watu 179 wamefariki kufikia sasa kwa mafuriko

0
Idadi ya waliofariki nchini kutokana na mvua ya masika  inayoendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali imefikia 179. Msemaji wa serikali Isaac Mwaura alisema kuwa miili kumi...

Watu kadhaa wahofiwa kuangamia katika ajali ya barabarani Machakos

0
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki huku wengi wakijeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha gari la matatu katika kaunti ya Machakos Jumatatu jioni. Kulingana...

Kalonzo na Wavinya wamshutumu Ruto kwa ubomozi wa Mavoko

0
Kiongozi wa chama cha Wyper Kalonzo Musyoka na Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti, wamemshutumu Rais William Ruto kwa ubomozi uliotekelezwa katika shamba lenye utata...

Rais William Ruto azindua kituo kidogo cha umeme Athi River

0
Rais William Ruto amezindua kituo cha kuzalisha umeme huko Athi River, kaunti ya Machakos. Alizindua kituo hicho jana Jumanne katika kaunti ndogo ya Mavoko. Kituo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS