Home Tags Mabadiliko

Tag: Mabadiliko

Gachagua: Hatutapumzika hadi tuifanyie mabadiliko sekta ya kahawa

0
Juhudi za kuifanyia sekta ya kahawa mabadiliko kwa manufaa ya wakulima wa zao hilo zinaendelea vizuri.  Naibu Rais Rigathi Gachagua ambaye amekuwa mstari wa mbele...

Gachagua: Ni haki ya Rais kulifanyia mabadiliko Baraza la Mawaziri

0
Rais William Ruto ana haki ya kulifanyia mabadiliko Baraza lake la Mawaziri.  Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema mabadiliko yaliyofanywa juzi Jumatano yalikusudia kuboresha utoaji huduma...

Mudavadi: Nahongera kuongezewa majukumu na Rais

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi ameelezea kufurahishwa kwake na hatua ya Rais William Ruto kuongeza wigo wa majukumu yake.  Katika mabadiliko ya kwanza ya...

Rais Ruto alifanyia Baraza la Mawaziri mabadiliko

0
Baraza la Mawaziri limefanyiwa mabadiliko katika hatua inayolenga kuboresha utendakazi serikalini kwa mujibu wa Ajenda ya Mabadiliko ya Kiuchumi kuanzia Chini hadi Juu, BETA. Hii...

Gavana Simba Arati ndiye Naibu Mwenyekiti mpya wa Kitaifa wa ODM

0
Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati ndiye Naibu Mwenyekiti mpya wa Kitaifa wa chama cha ODM. Arati anajaza pengo lililoachwa na aliyekuwa Mwakilishi wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS