Tag: Maandamano
Wakazi wa Mumias Mashariki waandamana juu ya NG-CDF
Baadhi ya wakazi wa eneo bunge la Mumias Mashariki wameandamana kulalamikia uamuzi wa Mahakama Kuu kusitisha utekelezaji wa Hazina ya Maendeleo ya Maeneo Bunge...
Polisi wapiga marufuku maandamano ya Chadema, CCM walaani utekaji
Jeshi la polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyokuwa yamepangwa na chama cha upinzani Chadema kufanyika jijini Dar es Salaam tarehe 23 Septemba 2024.
Msemaji...
Nigeria yawakamata raia saba wa Poland kwa kupeperusha bendera ya Urusi...
Nigeria imewakamata raia saba wa Poland kwa kupeperusha bendera za Urusi wakati wa maandamano dhidi ya serikali wiki hii katika jimbo la kaskazini la...
Boniface Mwangi, wengine 4 waachiliwa kwa dhamana
Mahakama imemwachilia huru mwanaharakati Boniface Mwangi na wenzake wanne waliokamatwa jana Alhamisi na kushtakiwa kwa tuhuma za, miongoni mwa mambo mengine, kuchochea vurugu.
Watano hao...
Museveni avisifu vyombo vya usalama kwa kuzima maandamano
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewasifu maafisa wa vyombo vya usalama nchini humo kwa kuzima na kuwakamata waliohusika na maandamano ya kulalamikia ufisadi nchini...
Wanahabari waandamana, washinikiza uhuru wa vyombo vya habari
Wanahabari kote nchini leo Jumatano wanafanya maandamano wakitaka serikali kuhakikisha uhuru wa vyombo vya habari unalindwa na kuheshimiwa.
Maandamano hayo pia yanalenga kulalamikia ukatili wa...
Hatuna nia ya kujiunga na serikali ya Kenya Kwanza, yasema ODM
Chama cha ODM kimekanusha madai kuwa kinafanya mazungumzo na utawala wa Kenya Kwanza kwa nia ya kuunda serikali ya muungano.
Chama hicho badala yake kinasema...
Kanja: Kuingia uwanja wa ndege bila ruhusa haikubaliki
Kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja ameonya kuwa serikali haitakubali mtu yeyote kuingia katika uwanja wa ndege bila kibali.
Aidha, Kanja ameongeza kuwa kuingia...
Maandamano Uganda: Usalama waimarishwa huku vijana wakijiandaa kuandamana hadi bunge
Hali ya usalama imeimarishwa mjini Kampala nchini Uganda huku wanajeshi wenye silaha wakionekana kuizingira mitaa baada ya vijana kupanga kuandamana hadi kwenye bunge kuwasilisha...
Waandamanaji watakiwa kutoenda maeneo yasiyoruhusiwa
Vijana wa Gen Z waliopanga kufanya maandamano leo Jumanne wametakiwa kuhakikisha hawaandamani kuelekea maeneo yasiyoruhusiwa kisheria.
Kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja amelihakikisha taifa...