Home Tags LSK

Tag: LSK

Wanasheria wamtaka kamanda wa polisi Nairobi kuruhusu maandamano kuendelea

0
Chama cha wanasheria nchini LSK kimemwandikia waraka kamanda wa polisi katika eneo la Nairobi Adamson Bungei, kikimtaka aruhusu maandamano ya kupinga mswada wa fedha...

Mwakilishi wa LSK katika JSC aapishwa

0
Wakili Samson Omwanza Ombati aliapishwa leo kama mwanachama wa tume ya huduma za mahakama JSC anayewakilisha chama cha mawakili nchini LSK. Hafla fupi ya kumwapisha...

Faith Odhiambo achaguliwa Rais wa 51 wa LSK

0
Faith Odhiambo ndiye Rais mpya wa 51 wa chama cha mawakili nchini, LSK. Hii ni baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi wa chama hicho uliondaliwa...

Uchaguzi wa LSK waendelea kote nchini

0
Uchaguzi wa chama cha mawakili nchini, LSK umeanza mapema leo Alhamisi kote nchini. Wanachama wa LSK watawachagua viongozi wa ngazi zote huku kileleta kikiwa kumchagua...

Mawakili bandia wakamatwa Kasarani, Nairobi

Maafisa wa polisi walivamia nyumba moja ya makazi mtaani Kasarani kaunti ya Nairobi na kukamata wanawake wawili ambao wamekuwa wakiendesha afisi ya uwakili kinyume...

Mahakama Kuu yasimamisha uchaguzi wa mwakilishi wa kiume wa LSK kwenye...

0
Mahakama kuu imesimamisha uchaguzi wa mwakilishi wa kiume wa chama cha mawakili nchini LSK katika tume ya kuajiri wahudumu wa idara ya mahakama JSC. Uchaguzi...

Marufuku ya mwanasheria Abdullahi: LSK yaikosoa Mahakama ya Juu

0
Siku moja baada ya Mahakama ya Juu kumpiga marufuku milele mwanasheria maarufu Ahmednasir Abdullahi kufika mbele yake, uamuzi huo umekosolewa na chama cha wanasheria...

LSK yapinga mkutano kati ya Rais Ruto na Jaji Mkuu Koome

0
Chama cha mawakili nchini, LSK kimepinga kufanyika kwa mkutano kati ya Rais William Ruto na Jaji Mkuu Martha Koome. Akiwahutubia wanahabari juzi Jumatatu, Jaji Koome...

Mawakili waandamana hadi Mahakama ya Juu, watetea uhuru wa mahakama

0
Mawakili leo Ijumaa wameandamana hadi nje ya Mahakama ya Juu kulalamikia tuhuma zinazoendelezwa dhidi ya idara ya mahakama.  Wakiongozwa na chama chao cha LSK chini...

Wanasheria wakosoa matamshi ya Rais kuhusu idara ya mahakama

0
Chama cha wanasheria nchini, LSK kimeonyesha kutoridhishwa kwake na matamshi ya kiongozi wa nchi kuhusu mahakama. Kwa sababu hiyo, wanachama wote wa chama hicho...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS