Home Tags Londiani

Tag: Londiani

Watu 47 wajeruhiwa katika ajali Londiani

0
Watu 47 wamejeruhiwa kwenye ajali ya iliyotokea mapema Ijumaa katika barabara ya Muhoroni eneo la Londiani kaunti ya Kericho. Abiria hao walikuwa kwenye basi lilipopoteza...

Majeruhi 44 hospitalini kutokana na ajali ya barabara Londiani

0
Abiria 40 wanapokea matibabu katika hospitali ya Fort Tenan, baada ya basi la abiria 66 kuhusika kwenye ajali katika eneo la ...

Watano wafariki, 10 wajeruhiwa katika ajali Londiani

0
Watu watano walifariki papo hapo na wengine 10 wakajeruhiwa, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha matatu ya abiria 14 katika eneo la Londiani, kaunti ya...

Naibu Rais Gachagua ahudhuria maombi kufariji waathiriwa wa ajali ya Londiani

0
Naibu Rais  Rigathi Gachagua leo Jumanne, amejiunga na jamaa na marafiki pamoja na viongozi mbalimbali katika ibada ya kufariji familia za waathiriwa wa ajali...

Idadi ya maafa katika ajali ya Londiani yafika 52

0
Takriban watu 52 wamethibitishwa kufariki, baada ya lori kugonga magari kadhaa eneo la Londiani katika barabara kuu ya Kericho-Nakuru Ijumaa jioni. Kulingana na waziri wa...

Murkomen: Serikali itawahamisha wanabiashara walio kando ya barabara kuu

0
Waziri wa uchukuzi Kipuchumba Murkomen, amesema serikali itawahamisha wachuuzi na masoko ya wazi kutoka barabara kuu. Murkomen aliyasema hayo Jumamosi asubuhi katika eneo la Londiani...

Rais Ruto awaomboleza waliofariki katika ajali ya Londiani

0
Rais William Ruto ameongoza taifa kuwaomboleza waliofariki katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Londiani kaunti ya Kericho Ijumaa jioni. “Ni swala la kutamausha kwamba...

Zaidi ya watu 50 wafariki katika ajali ya barabarani Londiani

0
Zaidi ya watu 50 wanahofiwa kuaga dunia, baada ya lori kugonga magari kadhaa katika makutano ya Londiani, katika barabara ya Kericho-Nakuru. Wanabiashara waliokuwa kando ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS