Home Tags Libya

Tag: Libya

Putin afanya mazungumzo na kiongozi wa mashariki mwa Libya

0
Rais Vladimir Putin wa Urusi amefanya mazungumzo na kiongozi wa kijeshi wa mashariki mwa Libya, Khalifa Haftar mjini Moscow. Vikosi vya Jenerali Haftar vilitegemea zaidi...

Waliofariki Libya kwa mafuriko huenda wakafikia 20,0000

0
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwenye mkasa wa mafuriko katika mji wa Derna nchini Libya huenda ikafikia 20,000. Kulingana na vyanzo vya habari nchini humo,...

Idadi ya walioangamia kwa mafuriko Libya yagonga 5,200

0
Idadi ya watu walioangamia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoandamana na kimbunga mjini Derna nchini Libya imegonga 5,200 huku wengine 5,000  wakiwa...

Ruto: Kenya inasimama na watu wa Libya kufuatia mafuriko yaliyosababisha maafa

0
Rais William Ruto ameelezea kusimama kwa Kenya na watu wa Libya wakati huu ambapo nchi hiyo inakumbwa na mafuriko ambayo yamesababisha maafa.  Angalau watu 2,300...

Maelfu ya watu wahofiwa kufa baada ya mafuriko kukumba Libya

0
Maelfu ya watu wanahofiwa kufa baada ya dhoruba kali kusababisha mafuriko makubwa nchini Libya. Kiongozi wa serikali ya Libya mashariki, ambayo haitambuliki kimataifa, alisema vifo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS