Home Tags Lamu

Tag: Lamu

Mudavadi: Usalama ni muhimu kufanikisha maendeleo

0
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, amewahimiza viongozi wa Lamu kudumisha amani na usalama katika Kaunti hiyo ili kufanikisha maendeleo. Mudavadi alisema hakuna Kaunti...

Rais Ruto: Serikali itakabiliana na utovu wa usalama Lamu

0
Rais William Ruto amesema kuwa Serikali itafanya lolote iwezalo kukabiliana na ukosefu wa usalama katika Kaunti ya Lamu. Alisema hatua madhubuti zitachukuliwa dhidi ya wanaochochea...

Lamu kunadiwa kama kisiwa cha tamasha

0
Tamasha ya kitamaduni ya mwaka 2023 ilimalizika kwa mbwembwe za aina yake mwishoni mwa wiki iliyopita huku Bodi ya Utalii Nchini, KTB ikitangaza mipango...

Matukio ya Taifa: Wakazi wanaoishi nyanda za chini Lamu watakiwa kuhama...

0
Huku mvua ya elinino ikizidi kunyesha sehemu mbali mbali hapa inchini, Wakaazi wa Lamu wanaoishi maeneo nyanda za chini na mabondeni wametakiwa kuhamia maeneo...

Seneta wa zamani wa Lamu ashtakiwa

0
Aliyekuwa Seneta wa kaunti ya Lamu Anuar Loitiptip alifikishwa mahakamani leo Alhamisi na kushtakiwa kwa kupokea shilingi milioni 6 kutokana na kusudio la kuuza...

Tamasha ya utamaduni wa Lamu kupiga jeki utalii

0
Maandalizi ya kila mwaka ya sherehe za kitamaduni za Lamu awamu ya 21, yamepamba moto, huku wageni 3,000 wakitarajiwa kuhudhuria. Katika sherehe hizo, utamaduni wa...

Waziri Kindiki kuwataja wafadhili 19 wa ugaidi

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki amesema atawataja watu 19 ambao wanafadhili ugaidi hapa nchini. Akizungumza katika eneo la Mkunumbi, eneo bunge la...

Kindiki: Ushirikiano wa jamii muhimu kwa vita dhidi ya ugaidi

0
Serikali kuu inawekeza katika mpango unaolenga kukuza uaminifu na pia kuhakikisha jamii mbalimbali zinaishi kwa amani katika kaunti ya Lamu na kote nchini.  Waziri wa...

Serikali yachapisha majina ya washukiwa wa ugaidi Lamu

0
Serikali ya Kenya imechapisha majina na picha za washukiwa wa ugaidi, wanaoaminika kuhusika katika mashambulizi ya hivi punde katika kaunti ya Lamu. Idara ya upelelezi...

Washukiwa 35 wa ugaidi wasakwa Lamu

0
Serikali inatoa wito kwa raia kutoa taarifa zikazosaidia kuwakamata washukiwa 35 wa ugaidi wanaotuhumiwa kwa kutekeleza mashambulizi katika kaunti ya Lamu na eneo la...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS