Home Tags LAIKIPIA

Tag: LAIKIPIA

Watu wawili wakamatwa wakiwa na risasi 2,658 kaunti ya Laikipia

0
Watu wawili wamekamatwa na maafisa wa polisi wakiwa na risasi 2,658 kinyume na sheria katika kaunti ya Laikipia. Mwanamume na mkewe walikamatwa nyumbani kwao katika...

Mwanamume afungwa maisha kwa kuwadhulumu kimapenzi wasichana wawili

0
Mwanamume katika kaunti ya Machakos, amehukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwadhulumu kimapenzi wasichana wawili wenye umri mdogo. Hakimu mkuu mwandamizi wa Kithimani Khapoya, siku ya...

Wauza pombe Laikipia walalamikia sheria mpya

Wafanyabiashara katika kaunti ya Laikipia wamelalamikia sheria mpya iliyopendekezwa kudhibiti pombe katika kaunti hiyo. Wamiliki wa baa na maeneo mengine ya kuuza pombe wamesema sheria...

Dorcas Rigathi atamaushwa na ongezeko la utumizi wa tumbaku Laikipia

0
Mkewe Naibu wa Rais Dorcas Rigathi ameelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa matumizi ya tumbaku katika kaunti ya Laikipia. Akiongea alipozindua kambi ya siku mbili...

Ardhi ya serikali iliyonyakuliwa Laikipia kutwaliwa

0
Serikali imeanzisha mchakato wa kutwaa ardhi yake iliyonyakuliwa na wastawishaji wa kibinafsi katika kaunti ya Laikipia. Naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Laikipia Mashariki Patrick...

Gavana Irungu ahofu juu ya maambukizi ya UKIMWI Laikipia

0
Gavana wa Laikipia Joshua Irungu amefanya mkutano wa ushauriano na wataalam wa afya wakiongozwa na USAID TUJENGE JAMII ili kuangazia changamoto za afya zinazoikumba...

Polisi wapata mbuzi 13 walioibwa kutoka kaunti ya Laikipia

0
Maafisa wa polisi wamepata mbuzi 13 katika eneo la Wamba kaunti ya Samburu, waliokuwa wameibwa kutoka kaunti ya Laikipia.  Mifugo hao waliripotiwa kuibwa  tarehe  23...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS