Home Tags Laikipia County

Tag: Laikipia County

Duale azindua ujenzi wa nyumba za wanajeshi Laikipia

0
Waziri wa ulinzi Aden Duale leo aliongoza uzinduzi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa wanajeshi wa KDF katika eneo la Kwa Mbuzi, kaunti...

Wakazi waandamana kulalamikia unyakuzi kwa msitu wa Marmanet

Wakazi wa kijiji cha Maina kinachopakana na msitu wa Marmanet katika kaunti ya Laikipia walifanya maandamano barabarani kulalamikia kile walichokitaja kuwa uvumi kwamba msitu...

Kituo kipya cha huduma chafunguliwa Nanyuki

Naibu rais Rigathi Gachagua amezindua kituo kipya cha huduma katika eneo la Makutano kaunti ndogo ya Laikipia Mashariki. Akizungumza siku ya Jumatatu baada ya uzinduzi...

Maafisa wa usalama Laikipia watakiwa kukomesha ukosefu wa usalama

Naibu Rais Rigathi Gachagua ameelekeza maafisa wa usalama katika kaunti ya Laikipia kukomesha visa vya ukosefu wa usalama katika eneo hilo akionya kwamba uzembe...

Wanamichezo walalamikia hali ya uwanja wa Nyahururu

Wanamichezo mbali mbali wanaotumia uwanja wa michezo wa Nyahururu kwa mazoezi wamelalamikia hali mbaya ya uwanja huo wakisema wengi wao hupata majeraha na hivyo...

Baadhi ya ng’ombe walioibwa kutoka shamba la Mugie wapatikana

Baadhi ya ng'ombe ambao walioibwa kutoka kwenye shamba la Mugie lililo katika kaunti ya Laikipia wamepatikana. Runinga ya KBC iliangazia taarifa ya wizi wa...

Rais Ruto afanya ziara ya kikazi Laikipia na Nyandarua

0
Rais William Ruto leo amefanya ziara ya kikazi katika kaunti za Laikipia na Nyandarua. Alianzia katika kaunti ndogo ya Laikipia Mashariki ambapo aliweka jiwe...

Wakazi wa mtaa wa Maina mjini Nyahururu wapokea matibabu ya bure

Wakazi wa mtaa wa Maina mjini Nyahururu, eneo bunge la Laikipia Magharibi kaunti ya Laikipia wamepokea huduma za matibabu bila malipo. Mpango huo ambao ulijumuisha...

Waziri Alice Wahome aongoza upanzi wa miti kaunti ya Laikipia

Wakati wakenya katika sehemu mbali mbali za nchi walikuwa wanajishughulisha na upanzi wa miche ya miti kulingana na pendekezo la serikali, waziri wa ardhi...

Wakazi wa Rumuruti waandamana kupinga ujenzi wa kituo cha kurekebisha tabia

0
Baadhi ya wakazi wa mji wa Rumuruti katika kaunti ya Laikipia wamepinga ujenzi uliopangwa wa kituo cha matibabu na urekebishaji tabia ambacho kilizinduliwa hivi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS