Tag: Kware Bodies
Oduor asema miili iliyoopolewa Mukuru haina majeraha ya risasi
Mwanapatholojia wa serikali Daktari Johansen Oduor jna alitoa ripoti yake baada ya kukagua miili ambayo ilitolewa kwenye timbo linalotumiwa kama jaa la taka mtaani...