Home Tags Kwale

Tag: Kwale

Shughuli zote za baharini zasimamishwa kaunti ya Kwale

0
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amewashauri wavuvi kusitisha shughuli zao huku kimbunga Hidaya kikitarajiwa katika Pwani ya Kenya. Achani pia alisitisha shughuli zote...

Wizara ya Utalii kushirikiana na serikali za Kaunti kuboresha sekta ya...

0
Waziri wa utalii na wanyamapori Dkt. Alfred Mutua, ameanzisha shughuli zinazonuia kufufua sekta ya utalii, na hivyo kuongeza mchango wake katika uchumi wa taifa. Kwa...

Gavana Achani afungua kiwanda cha kusaga mihogo Kwale

0
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani kupitia ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) amefungua rasmi kiwanda cha kuchambua, kukausha na kusaga mihogo katika...

Gavana Achani awahimiza wanafunzi kujiunga na vyuo vya kiufundi

0
Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani amewahimiza wanafunzi waliokamilisha masomo ya darasa la nane  na kufeli mtihani wa KCPE kujiunga na vyuo vya...

Kaka watano wakamatwa kwa kuilaghai serikali ya kaunti ya Kwale

0
Makachero wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi humu nchini (EACC), wamewakamata maafisa watano wa serikali ya kaunti ya Kwale kuhusiana na ufisadi. Waziri...

Gavana wa Kwale azindua miradi ya ujenzi wa barabara

0
Gavana wa kaunti ya Kwale  Fatuma Achani, amezindua miradi ya ujenzi wa baarabara na uwekaji wa taa za barabarani, katika kaunti hiyo. Kulingana na Gavana...

Polisi wawatafuta maafisa wawili wa KRA waliosombwa na maji Kwale

0
Polisi wameanza kuwatafuta maafisa wawili wa halmashauri ya ushuru nchini, KRA wanaohofiwa kufariki kwenye mafuriko katika kaunti ya Kwale Ijumaa usiku baada ya gari...

Maafisa wawili wa KRA watoweka baada ya gari lao kusombwa na...

0
Maafisa wawili wa halmashauri ya ukusanyaji ushuru humu nchini (KRA) wameripotiwa kutoweka baada ya gari lao kusombwa na mafuriko katika eneo la Ramisi kaunti...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS