Home Tags Kwale County

Tag: Kwale County

Kwale yaongeza ada ya kuingiza muguka

0
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani ametangaza kuongezwa kwa ada ya kuingiza muguka katika kaunti hiyo. Ada hiyo imekuwa shilingi elfu 10 kwa...

Miradi ya barabara kukamilishwa Kwale

0
Serikali ya kitaifa itakamilisha miradi ya barabara katika kaunti ya kwale kwa wakati unaofaa. Haya ni kwa mujibu wa kiongozi walio wengi katika bunge la...

Serikali yahimizwa kuongeza mgao wa fedha kwa kaunti

0
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani ameitaka serikali ya kitaifa kuongeza mgao wa fedha za kaunti ili kutatua migomo ya mara Kwa mara...

Vijana na kina mama wahimizwa kusajili kampuni Kwale

0
Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani ameendeleza kampeni ya kushawishi vijana na kina mama katika kaunti hiyo kusajili makundi yao kuwa kampuni ili...

Wanakandarasi wa barabara Kwale watakiwa kutekeleza kazi zao haraka

0
Gavana wa kaunti ya kwale Fatuma Achani amewataka wanakandarasi wa barabara katika kaunti ya Kwale kuharakisha kukarabati barabara zilizoharibiwa wakati wa msimu wa mvua...

Wavuvi wa Kwale wakabidhiwa boti za kisasa

0
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amekabidhi makundi ya usimamizi wa masuala ya baharini katika kaunti ya kwale boti 19 za kisasa bila...

Miili ya maafisa 2 wa KRA waliosombwa na mafuriko yaopolewa

0
Miili ya maafisa wawili wa Halmashauri ya Ukusanyaji Ushuru Nchini, KRA waliosombwa na mafuriko Ijumaa wiki  iliyopita imeopolewa. Kulingana na vitengo vya uokozi vikiongozwa na...

Gari walilokuwa wakisafiria maafisa wa KRA waliosombwa na maji Kwale lapatikana

0
Gari ambalo maafisa wawili wa KRA walikuwa wakisafiria waliposombwa na maji ya mafuriko katika daraja la mto Ramisi, katika kaunti ya Kwale limepatikana. Mkasa huo...

Mudavadi ahakikishia wapwani kudumu kwa bandari

0
Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia Mudavadi amehakikishia wakazi wa Pwani kwamba Bandari ya Mombasa itaendelea kuhudumu. Akizungumza kwenye hafla ya kuadhimisha miaka 100 tangu...

Polisi wachunguza kifo cha afisa wa idara ya uvuvi Kwale

0
Maafisa wa polisi wanaendeleza uchunguzi kuhusu kifo cha Martin Kiogora ambaye amekuwa akihudumu kama mkurugenzi wa idara ya masuala ya kilimo, uvuvi na ufugaji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS