Tag: KVF
Malkia Strikers watimuliwa mashindano ya Challenger
Azma ya vipusa wa Kenya-Malkia Strikers kujiakatia tiketi kwa nusu fainali ya mashindano ya Challenger Cup nchini Ufilipino, imezimwa baada ya kutitigwa seti 3-0...
Paul Bitok ajiuzulu kutoka Malkia Strikers
Naibu kocha wa timu ya taifa ya Voliboli ya Kenya kwa akina dada maarufu kama Malkia Strikers ,Paul Bitok amejiuzuku kutoka wadhfa huo.
Bitok ambaye...
Vipusa wa Kenya,KCB na Pipeline kucheza nusu fainali dhidi ya wenyeji...
Waakilishi wa Kenya katika mashindano ya kilabu bingwa Afrika ya Voliboli ya vipusa Kenya Commercial Bank-KCB, na Kenya Pipeline-KPC, watashuka uwanjani Ijumaa kwa nusu...
Kenya Prisons na KCB watua robo fainali Voliboli Afrika kwa...
Waakilishi wa Kenya katika mashindano ya klabu bingwa Afrika kwa wanawake nchini Misri,katika mpira wa wavu Kenya Prisons na Kenya Commercial Bank wamejikatia tiketi...
Magereza ya Kenya yabanwa na kukosa fainali ya Voliboli Afrika
Klabu ya Magereza kutoka Kenya iliiishia kunawa kwenye juhudi zake za kufuzu kwa fainali ya kuwania taji ya Voliboli barani Afrika kwa wanaume Jumatatu...
Malkia Strikers kuzindua uhasama dhidi ya Nigeria jijini Accra
Timu ya taifa ya Voliboli kwa wanawake ya Kenya ukipenda Malkia Strikers ,itashuka uwanjani Jumamosi kwa mchuano wa kufa kupona dhidi ya Nigeria katika...
Kikosi cha Malkia kufuzu kwa michezo ya Afrika chatajwa
Kikosi cha mwisho cha timu ya taifa ya Voliboli kwa vidosho maarufu kama Malkia Strikers kimetangazwa huku idadi ya wachezaji ikipunguzwa kutoka 19...
Pipeline watwaa ubingwa wa Afrika Mashariki
Vidosho wa Kenya Pipeline, KPC ndio mabingwa wa makala ya kwanza ya mashindano ya voliboli ya Afrika Mashariki ukanda wa tano.
Hii ni baada ya...
Prisons Kenya watwaa ligi kuu Voliboli baada ya miaka 7
Prisons Kenya walitawazwa mabingwa wa ligi kuu ya Voliboli kwa wanaume kwa mara ya kwanza baada ya subira ya miaka 7 kufuatia...
Kenya yaangushwa na Cameroon mashindano ya Voliboli Afrika
Timu ya taifa ya voliboli ya wanaume ya Kenya maarufu kama Wafalme Stars ilianza vibaya mashindano ya kuwania kombe la bara Afrika walipotitigwa seti...