Home Tags KUPPET

Tag: KUPPET

KUPPET yatilia shaka uporaji wa shilingi bilioni 115 za hazina ya...

0
Chama cha walimu wa shule za sekondari na vyuo  nchini KUPPET kimenahofia uporaji wa shilingi bilioni 115 za hazina ya uzeeni maarufu kama Public...

Mudavadi ahakikishia walimu uungwaji mkono kutoka kwa serikali

0
Waziri aliye na mamlaka makuu aliye pia waziri wa mambo ya nje Musalia Mudavadi amehakikishia walimu kwamba serikali imejitolea kuunga mkono ombi lao la...

Udanganyifu wa mitihani: KUPPET yatishia kwenda mahakamani

0
Chama cha Walimu wa Shule za Sekondari na Vuo, KUPPET kimetishia kuelekea mahakamani iwapo walimu wakuu wa shule za sekondari wataadhibiwa na Tume ya...

KUPPET yatishia kususia mitihani ya kitaifa

0
Chama cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo, KUPPET kimetishia kususia mtihani wa kitaifa wa KCSE na mitihani ya vyuo ambayo inatarajiwa kuanza...

Serikali yaombwa itoe pesa za kufadhili elimu

Shule zinapoendelea kufunguliwa kwa muhula wa tatu, chama cha walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET tawi la Meru kinaomba serikali kupitia kwa...

Walimu kuogelea kwenye hela kuanzia mwezi huu

0
Walimu katika shule za umma watapopokea nyongeza ya mshahara ya kuanzia asilimia 7 hadi 10 kama ilivyotangazwa na Rais.  Walimu wataanza kupokea nyongeza hiyo katika...

TSC kukutana na vyama vya walimu kujadili nyongeza ya mishahara

0
Tume ya kuwaajiri walimu TSC inatarajiwa kukutana na vyama vya walimu wiki hii kujadili kuhusu nyongeza mpya ya mishahara. Vyama vya walimu vinatarajiwa kufanyia mabadiliko...

KUPPET yashinikiza TSC kuharakisha nyongeza ya mishahara kwa walimu

0
Chama cha walimu wa shule za sekondari na vyuo nchini Kenya, KUPPET kimeitaka tume ya kuwaajiri walimu, TSC kuharakisha mchakato wa kuongeza mishahara ya...

Misori akosoa jopokazi la marekebisho ya mtaala wa CBC

0
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu wa shule za Upili na Vyuo Nchini (KUPPET)  Maurice Akelo Misori amelishutumu jopokazi lililobuniwa na Rais William Ruto ...

KUPPET yataka kuharakishwa kwa utekelezaji wa nyongeza ya mishahara kwa walimu

0
Chama cha walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET, kimeitaka tume ya kuwajiri Walimu kuharakisha mazungumzo na kusaini kwa nyongeza mpya ya walimu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS