Home Tags KTDA

Tag: KTDA

Shehena ya pili ya mbolea ya bei nafuu yazinduliwa

0
Waziri wa Kilimo Mithika Linturi amezindua shehena ya pili ya mbolea ya bei nafuu inayolenga wakulima wa majani chai. Akizungumza wakati wa kuanzisha msafara...

KTDA kuelimisha umma kuhusu kilimo cha majani chai nchini

0
Mamlaka ya Ukuzaji wa Majani Chai Nchini, KTDA imesisitiza dhamira yake ya kukuza uelewa wa umma kuhusiana na sekta ya majani chai na kuangazia...

Shehena ya kwanza ya mbolea ya NPK yawasili nchini

0
Halmashauri ya Ustawishaji Majani Chai Nchini, KTDA, imeagiza tani 92,737 za mbolea itakayouzwa kwa  wakulima wa mashamba madogo ya majani chai. Mbolea hiyo aina ya...

Wakulima wa chai kupokea bonasi ya shilingi bilioni 44 wiki ijayo

0
Wakulima wa majani chai watapokea marupurupu ya mazao waliyowasilisha viwandani kufikia Juni 30 mwaka huu, kuanzia wiki ijayo. Kulingana na taarifa kutoka kwa Mamlaka ya...

Mwenyekiti wa zamani wa KTDA aondoa kesi ya kupinga kufurushwa

0
Mwenyekiti wa zamani wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Chai Nchini, KTDA David Muni Ichoho ameondoa kesi aliyokuwa amewasilisha mahakamani kupinga madai ya kuondolewa kwenye...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS