Home Tags KRA

Tag: KRA

Magavana wapinga KRA kutoza ushuru mapato ya kaunti

0
Magavana wamelalamikia vikali matakwa ya Mamlaka ya Ukusanyaji Mapato nchini, KRA ya kutaka kutoza vyanzo mbalimbali vya mapato ya serikali za kaunti ushuru thamani...

Jaji Mkuu Koome ateua jopo la majaji watatu kuskiza kesi ya...

0
Jaji Mkuu Martha Koome ameteua jopo la Majaji watatu kuskiza na kuamua kesi, dhidi ya utekelezaji wa sheria ya matozo ya nyumba Majaji walioteuliwa ni...

Mwanasheria Mkuu aishauri KRA kusitisha matozo ya nyumba

0
Mwanasheria Mkuu Justin Muturi ameishauri mamlaka ya  ushuru nchini, KRA kusitisha ukusanyaji wa matozo ya nyumba baada ya mahakama ya rufaa kuharamisha ushuru huo...

Washukiwa 7 wafikishwa mahakamani kwa kukwepa kulipa ushuru

0
Washukiwa wengine 7 wamefikishwa kwenye mahakama ya Milimani leo ambapo walishtakiwa kwa kosa la kukwepa kulipa ushuru wa shilingi milioni 6.7 katika uagizaji wa...

Maafisa wa DCI wakamata vileo ghushi Kiambu

0
Maafisa wa upelelezi wa jinai DCI wametangaza kukamatwa kwa vileo ghushi katika nyumba moja ya makazi katika eneo la Kirigiti kaunti ya Kiambu. Kitengo cha...

Maafisa wa KRA wapata Ethanol iliyoingizwa nchini kimagendo

0
Maafisa wa shirika la kukusanya ushuru nchini, KRA wamesema kwamba wamepata kemikali aina ya Ethanol iliyoingizwa nchini kimagendo. Lita hizo elfu 13 za Ethanol zilipatikana...

Miili ya maafisa 2 wa KRA waliosombwa na mafuriko yaopolewa

0
Miili ya maafisa wawili wa Halmashauri ya Ukusanyaji Ushuru Nchini, KRA waliosombwa na mafuriko Ijumaa wiki  iliyopita imeopolewa. Kulingana na vitengo vya uokozi vikiongozwa na...

Polisi wawatafuta maafisa wawili wa KRA waliosombwa na maji Kwale

0
Polisi wameanza kuwatafuta maafisa wawili wa halmashauri ya ushuru nchini, KRA wanaohofiwa kufariki kwenye mafuriko katika kaunti ya Kwale Ijumaa usiku baada ya gari...

Maafisa wawili wa KRA watoweka baada ya gari lao kusombwa na...

0
Maafisa wawili wa halmashauri ya ukusanyaji ushuru humu nchini (KRA) wameripotiwa kutoweka baada ya gari lao kusombwa na mafuriko katika eneo la Ramisi kaunti...

Rais Ruto – Kila mtu lazima alipe ushuru

0
Kila Mkenya lazima alipe ushuru unaohitajika kwa maendeleo ya taifa hili. Rais William Ruto ameonya kuwa hakuna atakayependelewa katika wajibu wa ulipaji kodi, haijalishi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS