Home Tags KPSEA

Tag: KPSEA

Matokeo ya tathmini ya KPSEA yatolewa

Baraza la kitaifa la mtihani hapa nchini-KNEC limetoa matokeo ya mtihani wa kutathmini wanafunzi wa gredi ya sita (KPSEA) wa mwaka-2023. Wazazi pamoja na...

Machogu: Siombolezi KCPE

0
Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amesema kwamba haombolezi mwisho wa mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE bali anafurahia kuwa kiungo muhimu wakati...

Matokeo ya mitihani ya KCPE na KPSEA kutangazwa Alhamisi

0
Matokeo ya mwaka 2023 ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane, KCPE na tathmini ya darasa la sita, KPSEA yanataraajiwa kutangazwa leo Alhamisi,...

Mitihani ya KCPE na KPSEA yaingia siku ya pili

0
Mtihani wa kitaifa wa darasa la nane (KCPE) na tathmini ya gredi ya sita (KPSEA), imeingia siku ya pili leo Jumanne, huku maafisa wakuu...

Duale: Hakuna mianya ya wizi wa mitihani

0
Waziri wa ulinzi Aden Duale, amesema maadili ya mitihani ya kitaifa ya mwaka huu  lazima ilindwe, huku mitihani ya shule za msingi iking'oa nanga...

Serikali kuongeza idadi ya shule za umma kote nchini

0
Waziri mwenye mamlaka makuu ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Musalia Mudavadi, amesema serikali itaweka mikakati ya kuongeza idadi ya shule za...

Mtahiniwa kufanyia mtihani hospitalini Narok Kusini

0
Mtahiniwa mmoja wa mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE katika kaunti ndogo ya Narok Kusini, atafanyia mtihani wake hospitalini baada ya kushikwa...

Watahiniwa wahamishiwa shule za maeneo salama Lamu

0
Watahiniwa wa mtihani wa darasa la nane KCPE na wa gredi ya sita KPSEA ambao wamekuwa wakisomea kwenye shule za maeneo ambayo huathiriwa na...

Rais Ruto awatakia kila la heri watahiniwa wa KCPE na KPSEA

0
Rais William Ruto Jumatatu asubuhi aliongoza zoezi la ufunguzi wa karatasi za mitihani ya kitaifa ya darasa la nane  KCPE na ile ya tathmini...

Mitihani ya KCPE na KPSEA kuanza leo Jumatatu kote nchini

0
Watahiniwa wa darasa la nane na wanafunzi wa gredi ya sita, wanaanza mitihani yao ya kitaifa hivi leo Jumatatu. Watahiniwa wa darasa la nane...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS