Home Tags KPLC

Tag: KPLC

Mfumo wa kununua umeme kabla ya matumizi kutatizwa kwa siku moja

0
Kampuni ya usambazaji umemenchini KPLC, imetangaza kukatiza kwa mfumo wake wa kununua umeme kabla ya matumizi kwa kipindi cha saa 24, ili kuwezesha uboreshaji...

Umeme kupotea katika kaunti nne Jumapili yasema KPLC

0
Kampuni ya kusambaza nguvu za umeme nchini KPLC imetangaza kutoweka kwa umeme siku ya Jumapili April 7 katika kaunti nne. Kaunti zitakazoathirika ni panmpja na...

Kaunti za Nyeri, Kisii, Nyamira, Kiambu na Nandi kukosa umeme leo

0
Kampuni ya umeme nchini KPLC imetangaza kukatizwa kwa umeme katika kaunti 5 ambazo ni Nyeri, Kisii, Nyamira, Kiambu na Nandi leo. Umeme katika maeneo hayo...

Kaunti sita kukosa umeme Alhamisi yasema KPLC

0
Kampuni ya usambazaji umeme nchini KPLC imetangaza kukosekana kwa nguvu za umeme katika kaunti sita siku ya Alhamisi. Usumbufu huo utatokea kati ya saa tatu...

Kaunti 5 zaathiriwa na ukosefu wa umeme leo

0
Kampuni ya huduma za umeme nchini KPLC ilitoa notisi kwa wateja wake kuhusu kukatizwa kwa umeme katika sehemu za kaunti tano humu nchini. Kaunti hizo...

Kenya Power kumaliza mrundiko wa maombi ya kuwekewa stima

0
Kampuni ya umeme ya Kenya Power, KP imeahidi kumaliza mrundiko wa maombi ya Wakenya ya kuwekewa stima katika muda wa siku 90 zijazo, wiki...

Kaunti nane kukosa umeme, yasema KPLC

0
Kaunti nane nchini zitakosa umeme leo Alhamisi, Septemba 28, 2023. Kwa mujibu wa kampuni ya umeme, KPLC, kaunti zitakazoathirika ni pamoja na Nairobi, Kilifi, Trans...

Ununuzi wa token za KPLC kusitishwa Jumamosi usiku

0
Kampuni ya usambazaji umeme nchini KPLC imetangaza kuwa ununuzi wa umeme kwa njia ya token utasitishwa jumamosi usiku kuanzia saa tano na dakika 50...

Umeme warejeshwa eneo la Mlima Kenya

0
Kampuni ya Kenya Power imerejesha umeme Katika eneo la Mlima Kenya kufuatia kupotea kwa umeme katika maeneo mengi ya nchi Ijumaa usiku. Kulingana na taarifa...

Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai aachiliwa kwa dhamana

0
Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai ameachiliwa kutoka kituo cha polisi cha Kitengela kwa dhamana ya shilingi 50,000 pesa taslimu.  Hii ni baada ya mbunge...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS