Home Tags KPA

Tag: KPA

Maafisa wa KPA wakamatwa, wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi

0
Washukiwa 9 wakiwemo maafisa 6 wa Halmashauri ya Bandari Nchini, KPA wamekamatwa kuhusiana na tuhuma za ufisadi unaohusisha zabuni ya shilingi milioni 62.  Tisa hao...

KPA yasema moto kwenye Meli huko Liwatoni ulisababishwa na hitilafu ya...

0
Mamlaka inayosimamia bandari nchini KPA imeelezea kwamba kuna uwezekano kwamba hitilafu ya umeme ndiyo ilisababisha mlipuko kwenye meli ya mafuta iliyokuwa imetia nanga katika...

KPA watwaa taji FIBA Afrika mashariki baada ya kuwazidia nguvu wenyeji...

0
Kenya Ports Authority walitawazwa mabingwa wa ligi ya wanawake ya FIBA katika mpira wa kikapu baada ya kwuazidia maarifa wenyeji Rwanda Energy...

Maktaba ya Meli yawasili Mombasa

0
Wakenya ambao wanapenda kusoma vitabu wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia kutia nanga kwa meli iliyo maktaba katika Bandari ya Mombasa na ambayo itasalia...

KPA yashutumiwa kwa kutozingatia sheria ya jinsia ya thuluthi mbili

Halmashauri ya bandari nchini, KPA haijazingatia sheria ya jinsia ya thuluthi mbili katika uajiri wa wafanyakazi wake kulingana na ripoti ya kamati ya bunge...

Halmashauri ya KPA yapongezwa kwa kuboresha kivukio cha Likoni

0
Wakazi wa Mombasa wamepongeza halmashauri ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA) kwa kuboresha huduma za feri katika Kivukio cha Likoni tangu huduma za Shirika...

Wafanyakazi wa KPA waonywa dhidi ya ufisadi

0
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amewaonya wafanyakazi wa Halmashauri ya Bandari Nchini, KPA dhidi ya kujihusisha katika ufisadi.  Akiwahutubia wafanyakazi na timu ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS