Tag: Korir Sing’Oei
Wakfu wa Ford watakiwa kutoa maelezo kuhusu mashirika inayofadhili
Serikali ya Kenya siku ya Jumatano iliiandikia wakfu wa Ford, kuhusu uwezekano wa baadhi ya mashirika inayofadhili kujihusisha katika maandamano ya hivi punde dhidi...
Serikali inajizatiti kuhakikisha wafanyakazi wa KQ wanaozuiliwa DRC wanaachiliwa
Kufuatia kukamatwa na kuzuiliwa kwa wafanyakazi wawili wa shirika la ndege la Kenya Airways, Nairobi imesema kuwa inashauriana na Kinshasa katika juhudi za kuwaachilia...
Kenya yapongeza Rwanda kwa hatua ilizopiga baada ya Mauaji ya Kimbari
Kenya imepongeza hatua zilizopigwa na Rwanda, baada ya taifa hilo kughubikwa na mauaji ya kimbari, huku ikisema itaendeleakuunga mkono nchini hiyo kwa ustawi wa...