Home Tags KNUT

Tag: KNUT

Walimu wataka usimamizi wa hazina ya malipo yao ya kustaafu uhamishwe

Walimu kupitia chama chao cha KNUT sasa wanataka usimamizi wa hazina yao ya malipo ya kustaafu uondolewe kutoka kwa wizara ya fedha na kuwekwa...

Walimu kuogelea kwenye hela kuanzia mwezi huu

0
Walimu katika shule za umma watapopokea nyongeza ya mshahara ya kuanzia asilimia 7 hadi 10 kama ilivyotangazwa na Rais.  Walimu wataanza kupokea nyongeza hiyo katika...

TSC kukutana na vyama vya walimu kujadili nyongeza ya mishahara

0
Tume ya kuwaajiri walimu TSC inatarajiwa kukutana na vyama vya walimu wiki hii kujadili kuhusu nyongeza mpya ya mishahara. Vyama vya walimu vinatarajiwa kufanyia mabadiliko...

KNUT yataka mshahara wa walimu kuongezwa kwa asilimia 60

0
Chama cha Kitaifa cha Walimu Nchini, KNUT kimependekeza nyongeza ya asilimia 60 kwa mshahara wa walimu kote nchini. Mwenyekiti wa kitaifa wa chama hicho Patrick...

KNUT yapinga kushushwa vyeo kwa walimu wakuu

0
Chama cha walimu KNUT kimepinga pendekezo la jopo lililobuniwa na rais kumshauri kuhusu mageuzi katika sekta ya elimu la kuwashusha vyeo walimu wakuu wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS