Tag: KMPDU
Madaktari katika kaunti 11 watoa ilani ya mgomo
Madaktari wanaofanya kazi katika kaunti 11 humu nchini wametoa ilani ya mgomo ya siku 14 kufuatia kucheleweshwa kwa ishahara yao.
Kupitia kwa chama chao KMPDU,...
Baadhi ya madaktari wanagenzi kuanza kazi Agosti
Wizara ya Afya nchini imetangaza kwamba baadhi ya madaktari wanagenzi wataanza kazi Agosti Mosi, 2024.
Hatua hii inafuatia kutiwa saini kwa ongezo la makubaliano ya...
Madaktari wanagenzi walalama nje ya afisi za Wizara ya Afya
Madaktari wanagenzi leo Jumatatu walikita kambi nje ya ofisi za Wizara ya Afya na kuitaka serikali kuharakisha mchakato wa kuwatuma kuhudumu katika hospitali mbalimbali...
KMPDU yataka madaktari wakufunzi kuanza mafunzo katikati ya Juni
Chama cha Madaktari nchini, KMPDU sasa kinapendekeza madaktari wakufunzi kuanza mafunzo yao katikati ya mwezi huu.
Mpango wa utoaji mafunzo kwa madaktari hao ulisitishwa baada...
Serikali itashughulikia changamoto katika sekta ya afya, asema Rais Ruto
Serikali itashughulikia changamoto za mara kwa mara zinazowakabili wahudumu wa afya,na ambazo hudumaza juhudi za kuafikiwa kwa huduma za afya kwa wote, hayo ni...
Madaktari kurejea kazini Alhamisi baada ya kumaliza mgomo
Hali ya kawaida inatarajiwa kurejea katika hospitali zote za umma nchini, kaunzia siku ya Alhamisi baada ya Madaktari kutangaza kumaliza mgomo siku ya Jumatano.
Madaktari...
Madaktari wahitimisha mgomo
Viongozi wa muungano wa madaktari nchini KMPDU wametia saini mkataba wa kurejea kazini na mwajiri wao ambaye ni serikali kupitia kwa wizara ya afya.
Hatua...
Serikali na KMPDU zaongezewa siku mbili kumaliza mgomo wa madaktari
Mahakama ya kushughulikia mizozo ya wafanyakazi, imekipa chama cha madaktari na wataalamu wa meno nchini (KMPDU) na serikali muda wa siku mbili zaidi kuafikia...
Serikali na Madaktari wakosa kuafikiana
Serikali na Madaktari wanaogoma walikosa kuafikiana Ijumaa usiku, huku mgomo wa kitaifa ukiingia wiki ya nane katika hospitali zote za umma.
Kulingana na Waziri wa...
Rais Ruto akaa ngumu kwa madaktari wanaogoma
Mgomo wa madaktari ambao unakaribia miezi miwili tangu uanze huenda ukadumu kwa muda mrefu zaidi ilivyotarajiwa, baada ya serikali kukiri kukosa pesa za kuwalipa.
Akihutubu...