Home Tags Kithure Kindiki

Tag: Kithure Kindiki

Serikali imetimiza ahadi zake kwa wakulima, asema Rais Ruto

0
Rais William Ruto amesema kuwa serikali imetimiza ahadi zake kwa wakulima, kwa kutekeleza mabadiliko katika sekta ya kilimo hapa nchini. Kulingana na Rais, serikali imetengea...

Waziri Kindiki aagiza ukaguzi wa mabwawa yote kote nchini

Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki, ameziagiza kamati za usalama za kaunti na zile za ujasusi kote nchini kukagua mabwawa yote ya...

Pasipoti kuwa tayari ndani ya siku tatu pekee kuanzia Septemba asema...

0
Waziri wa usalama wa kitaifa Kithure Kindiki, amesema kuwa wale watakaotuma maombi ya pasipoti kuanzia Septemba mosi mwaka huu watazipata ndani ya muda wa...

Prof. kindiki atajwa waziri bora zaidi kwa utendakazi

0
Waziri wa usalama wa kitaifa Prof. Kithure Kindiki, ametajwa waziri bora zaidi katika utendakazi , katika ripoti mpya iliyotolewa na kampuni ya utafiti ya...

Msimu wa Mvua: Wakenya watakiwa kutahadhari dhidi ya mafuriko

0
Huku sehemu nyingi za nchi zikishuhudia kiwango kikubwa cha mvua, wananchi wametakiwa kuwa makini, kwa kuwa mvua hiyo inaweza kusababisha mafuriko. Waziri wa usalama wa...

Maafisa 17 wakamatwa kwa ufisadi Nyayo House

0
Maafisa 17 wa idara ya uhamiaji inayohusika na uchapishaji pasipoti katika jumba la Nyayo, wamekamatwa tangu kuanza kwa msako dhidi ya ufisadi unaoendeshwa na...

Serikali kupanua idara ya uhamiaji Bungoma Kusini

Serikali inapania kupanua afisi ya idara ya uhamiaji kwenye kaunti ndogo ya Bungoma kusini, kwa lengo la kuwezesha idara ya uhamiaji kutayarisha na kutoa...

Polisi 42,000 kuhamishwa kuanzia wiki ijayo, asema Kindiki

0
Maafisa wa polisi zaidi ya 42,000 ambao wamehudumu katika kituo kimoja kwa zaidi ya miaka mitatu, wanatarajiwa kuhamishwa ifikiapo Jumatano wiki ijayo.  Hii ni kwa...

Kindiki: Serikali haitawavumilia wanaofadhili na kuchochea ghasia

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Kithure kindiki amewaonya vikali wanaochochea ghasia katika kaunti ya Nyamira, akisema wanadumaza maendeleo na wanasababisha kupotea kwa maisha. Waziri huyo...

Serikali yaondoa marufuku dhidi ya kuwatembelea wafungwa

0
Serikali imeondolea mbali marufuku ya wafugwa kutemebelewa gerezani, ambayo yamedumu miaka minne, ili kutoa fursa kwa wafungwa kuunganishwa tena na jamaa zao. Huku akiondolea mbali...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS