Home Tags Kisumu

Tag: Kisumu

Rais Ruto kufungua kongamano la uwekezaji Nyanza

0
Rais William Ruto anatarajiwa kufungua rasmi kongamano la kimataifa la uwekezaji la eneo la Nyanza mwezi ujao, haya ni kulingana na waziri wa mawasiliano...

Basi la Easy Coach lililobeba wanafunzi lahusika katika ajali Kisumu

0
Basi la kampuni ya Easy Coach limeripotiwa kuanguka katika mzunguko wa Mamboleo katika kaunti ya Kisumu jana Jumatatu usiku.  Basi hilo lilikuwa limebeba wanafunzi wa...

Mashindano ya CECAFA kwa chipukizi yaanza Kisumu kwa Rwanda kuwakwatua...

0
Rwanda imeanza Makala ya mwaka huu ya michuano ya kombe la CECAFA kwa vijana walio chini ya umri wa miaka 18 kwa ushindi, baada...

Kipute cha CECAFA kutifua vumbi Jumamosi magharibi ya Kenya

0
Mashindano ya kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 18 yatang’oa nanga Jumamosi katika kaunti za Kakamega na Kisumu. Mashindano hayo tatafunguliwa...

Mawaziri waidhinisha kufutwa kwa madeni ya kampuni za serikali za sukari

0
Baraza la Mawaziri kwenye kikao chake rasmi siku ya Jumatatu katika kaunti ya Kisumu, limeidhinisha kufutiliwa mbali kwa madeni yanayodaiwa kampuni za serikali za...

Kisumu kuandaa mechi za AFCON 2027, asema Rais Ruto

0
Kaunti ya Kisumu itaandaa baadhi ya mechi za kipute cha kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2027 maarufu kama AFCON. Hakikisho hilo limetolewa siku ya...

Kikosi maalum cha usalama chapelekwa kurejesha utulivu Sondu

0
Serikali imewahamisha maafisa wakuu wa usalama katika eneo la Sondu lililoko katika mpaka wa Kisumu na Kericho, ambalo limekumbwa na visa vya utovu wa...

NCIC yashtumu mapigano katika mpaka wa Kisumu na Kericho

0
Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Maridhiano, NCIC imeshtumu vikali mapigano yaliyoshuhudiwa katika mpaka wa kaunti za Kisumu na Kericho.  Watu wanane wameuawa na 18...

Watu watatu wafariki baada ya ghasia kuzuka katika mpaka wa Kisumu-Kericho

0
Watu watatu wameuawa baada ya kuzuka upya kwa mapigano kati ya jamii zinazoishi katika mpaka wa kaunti za Kisumu na Kericho. Watu wengine kadhaa walijeruhiwa...

Waziri Owalo na katibu Omollo wapanga mikakati ya ujio wa ...

0
Waziri wa Habari Teknoljia Mawasiliano na Uchumi wa kidijitali Eliud Owalo na Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt Raymond Omollo,wamefanya mashauriano katika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS