Home Tags Kisumu County

Tag: Kisumu County

Mvulana aliyemuua rafikiye aachiliwa huru Kisumu

0
Mvulana wa umri wa miaka 10 aliyemuuwa rafiki yake wa miaka 8 katika kijiji cha Andingo kaunti ndogo ya Nyakach (Kisumu), ameachiliwa huru na...

Serikali yatoa pesa za kufadhili masomo

0
Serikali imetoa shilingi bilioni 1.5 kuwezesha ufadhili wa masomo katika kaunti zote 47 kupitia Hazina ya Kitaifa ya Kusimamia Shughuli za Serikali...

Kongamano la usafi wa mazingira na utawala kufanyika Kisumu

0
Zaidi ya washiriki 5,000 wakijumuisha washikadau kutoka idara ya maji na usafi wa mazingira ya humu nchini na kote duniani, wanatarajiwa kuhudhuria kongamano la...

Kaunti ya Kisumu yasitisha ujenzi wa soko la Uhuru Business Complex

0
Serikali ya kaunti ya Kisumu imesitisha ujenzi wa soko la Uhuru Business Complex ambao umekuwa ukiendelea tangu mwaka 2019. Soko hilo lilikuwa linajengwa kwa gharama...

Jamaa aliyeua watu wanne wa familia moja Kisumu akamatwa

0
Jamaa ambaye alipagawa na kudaiwa kuua watu wanne wa familia moja huko Muhoroni, kaunti ya Kisumu Jumamosi, Februari 24 usiku amekamatwa. Alikamatwa jana Jumapili...

Hafla ya kumkumbuka Mzee Jaramogi Oginga Odinga yatangazwa

0
Gavana wa kaunti ya Kisumu Profesa Peter Anyang Nyong'o ametangaza kwamba kutakuwa na hafla ya kumkumbuka mzee Jaramogi Oginga Odinga. Kupitia ukurasa wake uliothibitishwa wa...

Wakfu wa Eliud Owalo watoa msaada kwa timu ya vijana ya...

0
Asubuhi ya leo, waziri wa mawasiliano na uchumi dijitali Eliud Owalo leo aliandaa mashauriano na usimamizi wa timu ya soka ya Muhoroni Youth na...

EACC yakabidhi mali ya wizi ya shilingi milioni 410 kwa kaunti...

0
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC imekabidhi serikali ya kaunti ya Kisumu mali ya kima cha shilingi milioni 410 iliyojengwa katika ardhi...

Kenya kumenyana na Rwanda mechi za CECAFA

0
Kenya itashuka uwanjani Mamboleo, kaunti ya Kisumu Jumanne asubuhi kwa mchuano wa pili wa kundi A dhidi ya Rwanda, kuwania kombe la CECAFA kwa...

Waziri Ababu azuru Kisumu kukagua ujenzi wa uga wa Moi

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba siku Ijumaa amezuru uwanja wa Moi katika kaunti ya Kisumu, kufanya ukaguzi wa ukarabati wake kwa maandalizi ya michuano...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS