Home Tags Kisii

Tag: Kisii

Wito watolewa kuwapiga jeki walemavu

0
Mwakilishi wa wanawake kaunti ya Kisii Dorice Aburi, ametoa wito kwa  washikadau mbalimbali kusaidia watu walio na ulemavu kupitia programu za kijamii na kiuchumi. Akizungumza...

Kindiki: Maduka ya pombe zaidi ya 18,000 yamefungwa kote nchini

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki amefichua kuwa takriban maduka elfu 18,650 ya kuuza pombe yamefungwa kote nchini kufikia sasa kwenye msako...

Monda akana mashtaka yote manne dhidi yake mbele ya Seneti

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Kisii Dkt. Robert Monda alikanusha mashtaka yote manne yanayomkabili alipofika mbele ya bunge la Seneti jana Jumatano.  Kwenye kesi iliyowasilishwa...

Kindiki: Serikali haitawavumilia wanaofadhili na kuchochea ghasia

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Kithure kindiki amewaonya vikali wanaochochea ghasia katika kaunti ya Nyamira, akisema wanadumaza maendeleo na wanasababisha kupotea kwa maisha. Waziri huyo...

Waziri Machogu alaani visa vya vurugu Kisii

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amelaani visa vya hivi karibuni vya uzushaji wa vurugu katika eneo la Kisii, akisema serikali ina rasilimali zinazohitajika kukabiliana...

Washukiwa wa wizi wa vifaa vya elektroniki wakamatwa Kisii

0
Maafisa wa huduma ya taifa ya polisi wameimarisha vita dhidi ya vifaa vya kielektoniki katika kaunti ya Kisii. Mnamo siku ya Jumatano, maafisa wa polisi...

Magaidi 3 wauawa, bunduki aina ya AK 47 yapatikana Kisii

0
Magaidi watatu waliojihami kwa silaha waliuawa mjini Kisii jana usiku na bunduki aina ya AK 47 kupatikana. Hii ni baada ya magaidi hao kujaribu...

Rais Ruto: Kaunti za Kisii na Nyamira kunufaika na masoko mapya

0
Rais William Ruto amesema Kaunti za Kisii na Nyamira zitanufaika na masoko 15 na saba mtawalia, katika juhudi zinazoendelea za kuboresha mazingira ya kazi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS