Home Tags Kisii County

Tag: Kisii County

Naibu Gavana wa Kisii ang’atuliwa mamlakani

0
Wabunge wa bunge la kaunti ya Kisii wamepiga kura ya kumwondoa afisini naibu Gavana wa kaunti hiyo Daktari Robert Monda. Wawakilishi wadi 53 waliunga mkono...

Mchekeshaji Eric Omondi atangaza kukamilika kwa mradi wa daraja Kisii

0
Eric Omondi ambaye wengi wanamfahamu kama mchekeshaji ametangaza kukamilika kwa mradi wa daraja ambalo alilipa jina la "Kemunto". Jina hilo ni la mtoto mdogo ambaye...

Gavana Arati adai kuna njama ya kumuua

0
Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati amedai wapinzani wake wamepanga njama ya kumuua kwa kumtilia sumu baada ya kushindwa kumbandua afisini. Arati amesema njama...

Madaktari watekeleza upasuaji wa kwanza wa uti wa mgongo Kisii

0
Madaktari katika hospitali ya rufaa ya Kisii KTRH wametekeleza upasuaji wa kwanza wa uti wa mgongo. Upasuaji huo uliofanikiwa ulichukua muda wa saa 5...

Rais Ruto aonya maafisa wa umma wanaofanikisha ufisadi

0
Rais William Ruto amesema hawezi kukubalia watu wachache waharibu hali ya baadaye ya nchi hii kwa hivyo ufisadi utakabiliwa vilivyo. Kiongozi wa nchi ambaye alikuwa...

Rais Ruto aahidi kushirikiana na viongozi wa Kisii kimaendeleo

0
Rais William Ruto ameahidi kuungana na kushirikiana na viongozi wote waliochaguliwa katika kaunti ya Kisii wanapopanga maendeleo ya eneo hilo. Akizungumza wakati wa hafla ya...

Gavana Arati: Mashemeji walinilipia tikiti za MCAs

0
Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati amefafanua kwamba wawakilishi wadi ambao alisafiri nao hadi Uchina mwezi jana, walilipiwa tikiti za ndege na serikali...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS