Home Tags Kipchumba Murkomen

Tag: kipchumba Murkomen

Murkomen akariri kudhibiti ajali za Barabarani

0
Wizara ya uchukuzi inasema imepiga hatua za kuhakikisha usalama barabarani, ili kukabiliana na ajali hizo zinazokithiri kote nchini. Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema maagizo...

Waziri Murkomen asema ajali za barabarani zitapungua

0
Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema amechukua jukumu kuhakikisha idadi ya ajali za barabarani zinapungua katika barabara za hapa nchini. Waziri aliahidi kutekeleza agizo la...

Murkomen: Serikali inajizatiti kukabiliana na ajali za barabarani

0
Waziri wa uchukuzi na barabara Kipchumba Murkomen, ametoa wito kwa wakenya kuwa watulivu huku serikali ikijizatiti kukabiliana na ongezeko la ajali za barabarani. Murkomen, ambaye...

Serikali yakarabati barabara ya Marala-Baragoi kukabiliana na utovu wa usalama

0
Katika juhudi za kukabiliana na utovu wa usalama katika kaunti ya Samburu, serikali imeanzisha ukarabatiwa wa barabara ya Maralal-Baragoi ambayo ni ya urefu wa...

Barabara ya kuondoka Expressway kuingia katikati ya Jiji yafunguliwa

0
Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen leo Jumamosi alifungua rasmi barabara ya kuondoka kwa ile ya Expressway, kwenye mzunguko wa barabara ya Haile Selassie inayoingia...

Murkomen: Uwanja wa ndege wa JKIA hautakosa umeme tena

0
Waziri wa barabara na uchukuzi Kipchumba Murkomen,  amehakikishia taifa kwamba hakutakuwa na tatizo la kupotea kwa umeme tena katika uwanja wa ndege wa kimataifa...

Waziri Murkomen aagiza kufanywa ukarabati katika viwanja vya ndege

0
Waziri wa uchukuzi na barabara Kipchumba Murkomen, ameagiza kuwekwa kwa paa mpya  katika maeneo yote ya wasafiri  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa Jomo...

NTSA: Nambari mpya za usajili wa magari ziko tayari

0
Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani  (NTSA), imetoa wito kwa wenye magari ambao wamepokea ujumbe mfupi, kuchukua nambari za usajili wa magari. Hatua hiyo inajiri...

Murkomen: Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kerenga utaimarisha uchumi

0
Waziri wa Barabara na Uchukuzi Kipchumba Murkomen, amepongeza ukarabati uanoendelea wa kupanua uwanja wa ndege wa Kerenga katika kaunti ya Kericho, akisema utakamilika kabla...

Gavana Sakaja awataka wakazi wa Nairobi kujiepusha na siasa duni

0
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja ametaka wakazi wa kaunti yake kujitenga na siasa duni za mgawanyiko na badala yake washirikiane kujenga taifa. Sakaja...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS